Serikali isimamishe shughuli za Precision Air haraka

Serikali isimamishe shughuli za Precision Air haraka

RUHUSU ROHO ZA MAREHEMU ZIPUMIIKE KWA AMANI.....
FRM EXP MTU AMBAE ANGETOA UKWELI RUBANI KAMA ANGEPONA.....KWENYE NDEGE KUNA SPARE ZINAITWA GO ITEMS N NO GO ITEMS
HIZI RUBAN ANAANGALIA KABRASHA ZAKE KAMA INAMRUHUSU KWENDA MA LAH
SHIDA KUBWA INAYOTESA MARUBANI ENGN AKIAMBIWA HII SPARE N SHIDA WANAANZA PGIANA SIMU UKO JUU RUBANI UNABAKI KUWA MSUKULE WA MA ENGN....

BINAFSI NINGEANZA KUMHOJI YULE ALIESALIMIKA AMBAPO AKIWA HOSPT AKASEMA MPAKA WANASHUKA ANANGALIA MATAIRI HAYAJATOKA NJE AKAJISOGEZA ENEO LA KUTOKEA

HAPA TUNGEANXA KUJUA SABABU YA KWANXA N IPI ....WELL MNAWEZA SEMA HALI YA HEWA..ILA RUBANI FST CHOICE TAIRI AZITOKI ANA RUDI JUU AKIJARIBU TENA BAHATI YAKE MMIMEGOMA ANANGALIA MAFUTA YANAMRUHUSU KUZUNGUKA JUU AKISUBIIRIA KAMA YATATOKA NJE TAIRI....

..IKIGOMA N KUIPELEKA KWENYE MAJI
UKISHUKA CHINI ARDHINI UWEZO WA KUWA KA MOTO N MKUBWA NA MOTO UNAANZIA KWA RUBANI...MUNGU AWALAZE PEMA PEPONI WOTE

USHAURI
HUWA TAA WANAMAZOEZI YA EMERGENCY NA HATA AMBULANCE KUPITA MTAANX WASIOJUA UNAWEZA HISI AJALI

MAZOEZI HAYA YAFANYIKE NA KWENYE MAJI PIA NDEGE IKIWA JUU ..UKIANGALIA WAFANYAKAZI WA NDEGE NDANI WA KWANZA KUJUA HALI SIO.RUBAN AKIFIKA KIMO FULAN ANACOMAND EVACUATION

AJABU MAJALIWA AAWAFUNGULIA MLANGO WAKATI WAO NDIO WA KWANZA KUFUNGUA EMERGENCY DOOR NA KUKAA PALE KWENYE WING WAKIVUTA WALIO NA FLJKT KURUKA KWENYE MAJI UKIONA INA SINK UNARUHUSIWA KUANZA NA KUWAACHIA WALIOBAKIA WAPAMBANE NA HALI ZAO.

.SWALI WALITANGAZIWA NA RUBAN KUFUNGUA MLANGO??ANAJUA RUBAN NA CREW WALIOPONA

2.KAMA WALITANGAZIWA IWEJE AWAKAFUNGUA MLANGO WAKATI NDEGE KABLA YA KUONDOKA WANAPEWA ABIRIA DEMO YA KURUKA WAKIWA WANA EMERGENCY KWA MAJI NA NCHI KAVU...NYWAY EMERGENCY HAINA ADBU PENGINE HATA WALIFAINT WALIPOPELEKWA TAARIFA KUFUNGUA MLANGO..POLEN MA CREW WOTE.......

HIZI NDEGE ZIPELEKE CREW KWENYE MAZOEZI YA MAJI KINA KIFUPI WARUKIE HUMO TUSISUBIRI KUZAMA ZIWAN....
RIP ALL

Asante kwa maelezo mazuri. Seems wewe ni expert. Nakiri kuwa kuna shida kwenye huu mlolongo mzima .

Na Ikama kulikuwa na communication kati ya Ruban na Crew yake ndani ya ndege , milango ya Emergency yote ilitakiwa iwe standby huku wahudumu wakitoa maelezo nini cha kufanya.

Naamini kama kungekuwa na hizi efforts , tungekuwa na majeraha tu.

Inaonekana hata team ya Precision haikujua nini cha kufanya aidha kwa kutokujua ruban anapanga kufanya nini au kwa kukosa Experience ya haya mambo.

Nimeambiwa na moja wa mtu wa usalama wa eneo lile kuwa , ndani ya ile ndege mmoja wa wahudumu nae alikuwa ana struggle mpaka dogo alipokuja kuvunja mlango nae ndio akachomoka.

Mkurugenzi wa Precision akamatwe na awe chini ya ulinzi.

Kwa maelezo hapo juu ni wazi kuwa hata rubani hakujua anafanya nini , maana anayo access ya kufungua Emergency doors palepale kwenye Dashboard yake .... Kama hakuweza kufanya hivyo seems hitilafu imetokea out of knowing.

Lakini pia Inawezekana Mafuta yalikata na ndio maana akawa anashindwa kurudi mwanza , akawa ana force kutua pale ......

The other thing .. timu ya mawasiliano nchii kavu ikamatwe na iwekwe chini ya ulinzi ,

kuna uhuni umefanyika. Watu wa kwanza kujua kuwa hii ndege inadondoka Soon ni watu wa mawasiliano ya nchi kavu , ilitegemewa wafike eneo la tukio a minute baada ya ndege kudondoka.... wamefika pale 50 minutes baadae kuja kutoa maiti .....

Nimezikagua maiti zote, hakuna maiti ambayo ina injury au heavy bleeding ... maiti zimetoka safi Na nzima . The likelihood kuwa walizidiwa na maji na kukosa hewa ni asilimia 100%. Maana nyingine zilikuwa zimevimba.... hata Rubaga mwili wake umeathiriwa na maji.

Kwenye ndege velocity ya maji kuingia ndani ya ndege ilikuwa ni ndogo but exponentially

Nasema hili shirika lifungiwe ndio tuanze kujadili .... ni criminals and they need to be investigated na kupelekwa Polisi na mahakamani
 
Track record ya hizi ndege za Ufaransa type ATR-42 huwa sio nzuri hata kidogo, ndio maana mimi huwa sizipandi kabisa, niliwahi kuona moja inagehuka ghafla upside down in mid air, defying all laws of physics!!! Nyingine kukatika sehemu mbili katikati huku ikiwa safarini hiyo ni structural failure/metal fatique ya aina gani?? Sizisemi vibaya hilo ni angalizo, lakini kumbukeni mwisho mwa siku akili kichwani mwako.
 
Sawa kabisa
 
Pamoja na maekezo marefu inaonekana kuna chuki binafsi na Precision Air na uongozi wake. Too biased analysis. Much exegerations!

Mbona train za TRC zikidondoka na kuua kwa ubovu wa miundombinu sijasikia Waziri wa Usafirishaji akitiwa ndani au Shirika likifungiwa.

Hivi mmiliki wa Kampuni ya ndege awekwe ndani kisa ndege imepata ajali.

Really!!

Au hii ni chuki kwa Private Sector players au mbinu za competition ya abiria?

Sjui ni Ujamaa na Kujitegemea ndio bado umeacha hangover kwa baadhi yetu au ni nini.

Ajali ikitokea Shirikala Umma inchukuliwa kuwa ni bahati mbaya:; Ila kwa private Company mmiliki akamatwe[emoji174]

Bongo bado bongolala tuko wengi.
Hamjajua dunia ya leo inaendeshwa na PRIVATE sector.
Corporate world ndiyo injini ya uchumi wa dunia.

Elimika.
 
Acheni figisu bwana,tusubiri uchunguzi ukamilike mambo yawe hadharani,ajali inakupata sehemu yeyote na mda wowote haswaa hizi ndege ndo kabsa hazitabiriki niliwahi kupanda Rwanda air 2019 alfajir tunatua Kigali matairi yakagoma kutoka tukazungushwa wee kama dk 15 hadi badae ndege ilivyokuja kutoa matairi iliporomoka mpaka tukagonga vichwa kwenye viti na tairi kupasuka.Sasa sijui na hii ungesemaje.Kiufupi tu ni kuwa tayari safari yako ikifika kwenda kwa mola wako imefika whether ni baiskeli au guta utakufa tu.
 
Stop complaining. Acha kulalamika na kulialia Kama baby ....

Boy , kinachojadiliwa hapa ni uzembe wa shirika kwa many failures kuanzia timu ya ndani kwenye first aid na namna ya kuhandle Emergency kama ile . Ile ilikuwa ni ajali ndogo sana kuua watu 19 .

Stop being subjective and stop seeing the world as you were conditioned to see it . See the world as it really is ,Boy
 
Acheni figisu bwana,tusubiri uchunguzi ukamilike mambo yawe hadharani,ajali inakupata sehemu yeyote na mda wowote haswaa hizi ndege ndo kabsa hazitabiriki niliwahi kupanda Rwanda air 2019 alfajir tunatua Kigali matairi yakagoma kutoka tukazungushwa wee kama dk 15 hadi badae ndege ilivyokuja kutoa matairi iliporomoka mpaka tukagonga vichwa kwenye viti na tairi kupasuka.Sasa sijui na hii ungesemaje.Kiufupi tu ni kuwa tayari safari yako ikifika kwenda kwa mola wako imefika whether ni baiskeli au guta utakufa tu.

You are complaining
 
Hatuwezi kuwa Na vijana km ww ni hasara kwa taifa. Kuwa siku yako ikifika ndio unakufa Tu ?
What a shame and poor reasoning
 
Kuna kiwanja cha ndege mikoa ya kusini jina nimesahau niliambiwa abiria huwa wanakaa chini ya mti kusubiria ndege.
 
Maneno yako tu ndio tuyaamini? Subiri uchunguzi taarifa itatolewa uzuri wa ajali za ndege uchunguzi ni comprehensive na hujumuisha taasisi kibao akiwamo na manufacturer l.
Tanzania ni nchi ya hovyo 100% hicho ulichoandika ni nadharia tu hakuna kitakachofanyika.
 
Asante kwa maelezo mazuri. Seems wewe ni expert. Nakiri kuwa kuna shida kwenye huu mlolongo mzima .

Na Ikama kulikuwa na communication kati ya Ruban na Crew yake ndani ya ndege , milango ya Emergency yote ilitakiwa iwe standby huku wahudumu wakitoa maelezo nini cha kufanya.

Naamini kama kungekuwa na hizi efforts , tungekuwa na majeraha tu.

Inaonekana hata team ya Precision haikujua nini cha kufanya aidha kwa kutokujua ruban anapanga kufanya nini au kwa kukosa Experience ya haya mambo.

Nimeambiwa na moja wa mtu wa usalama wa eneo lile kuwa , ndani ya ile ndege mmoja wa wahudumu nae alikuwa ana struggle mpaka dogo alipokuja kuvunja mlango nae ndio akachomoka.

Mkurugenzi wa Precision akamatwe na awe chini ya ulinzi.

Kwa maelezo hapo juu ni wazi kuwa hata rubani hakujua anafanya nini , maana anayo access ya kufungua Emergency doors palepale kwenye Dashboard yake .... Kama hakuweza kufanya hivyo seems hitilafu imetokea out of knowing.

Lakini pia Inawezekana Mafuta yalikata na ndio maana akawa anashindwa kurudi mwanza , akawa ana force kutua pale ......

The other thing .. timu ya mawasiliano nchii kavu ikamatwe na iwekwe chini ya ulinzi ,

kuna uhuni umefanyika. Watu wa kwanza kujua kuwa hii ndege inadondoka Soon ni watu wa mawasiliano ya nchi kavu , ilitegemewa wafike eneo la tukio a minute baada ya ndege kudondoka.... wamefika pale 50 minutes baadae kuja kutoa maiti .....

Nimezikagua maiti zote, hakuna maiti ambayo ina injury au heavy bleeding ... maiti zimetoka safi Na nzima . The likelihood kuwa walizidiwa na maji na kukosa hewa ni asilimia 100%. Maana nyingine zilikuwa zimevimba.... hata Rubaga mwili wake umeathiriwa na maji.

Kwenye ndege velocity ya maji kuingia ndani ya ndege ilikuwa ni ndogo but exponentially

Nasema hili shirika lifungiwe ndio tuanze kujadili .... ni criminals and they need to be investigated na kupelekwa Polisi na mahakamani
Pale bukoba maafisa wa mawasiliano ya nchi kavu wa ndege ni wapuuzi sana. Mwaka 2014 wakati tunasubiri ndege itue iliyokuwa inatokea mwanza na jamaa katupanga kuwa ndege itatua ndani ya dakika kumi baadae anaanza Naye kushangaa et kwanini haifiki. Kusubiri wee kumbe ndege imeamua kurudi mwanza kwa sababu ya hali ya hewa. Jamaa wapowapo tu.
 
Nakubaliani kuwa ile Route ya Mwanza to Bukoba ni hectic one. Mwaka fulani nilipita ile distance ya Mwanza to Bukoba dakika 5 niliziona ni kama Miaka 100.

Ni kama ndege ilikuwa inavutwa kwa lazima back and forth... kibaya zaidi Rubani hakutangaza chochote.

Ni siku ambayo nilisikia Yesu akitajwa zaidi kuliko siku yoyote. Wapo waliozimia kwa Hali ile.

Mimi na Mzungu tulikuwa tumechili.... ndani ya nafsi yangu nikajisemea. Kama leo ndio mwisho wangu .... let the shit happen .... I can’t deny death . Only to realize that I was born to die.

So nikawasha ipad yangu na kuanza kusikiliza the Beatles, waiting for my destiny.

I was eager to see my new beginnings.

Well , baadae ndege ikatua and from that moment nikasema hii ruti sipiti tena. Ikiwa nina Safari ya Bukoba... nina segment safari kwa Lami kwa siku 2.

Ile Distance Mwanza to Bukoba kupitia ziwa , There must be something wrong apart from Nguvu ya Mvutano.

Hoja yangu ya Msingi ni kuhusu hizi ndege za Precision

Mwaka 2011, pale KIA nikiwa na Lowasa na Sumaye, Tairi ya Precision ilipasuka wakati wa kutua , kukatokea taharuki kidogo lakini tukatoka salama.

2018 pale Tabora, tulitumia 30 minutes kutua kwa sababu tairi za ndege zilikataa kuchomoka, kila jamaa akijaribu tairi hazitoki.... baadae tukatua , Jamaa wakadai kuwa ni kawaida kwenye ndege.

Mwaka 2021, Hapo ndio nikaanza kuwaza kuhusu Precision, pale JNIA, tulitua kwa vibaya snaa kana kwamba tupo vitani.

Nimepanda ndege nyingi But ule mtuo, kila mtu alistuka na tukauliza nini shida... hawakutoa majibu.

Hapo hapo JNIA siku nyingine , wakati wa kutua , tairi ni kama iliwaka moto yaani ile kutoa cheche nyingi .... na ilipotua ilitua kwa kishindo ambacho sio cha Kawaida na kila mtu alihoji na wote tulistuka sana.

Baada ya hapo nikawa nimeona Red light , nikasema sipandi tena hizi ndege za Precision

. Majibu yao baada ya kuhoji yalikuwa ni Joto la Dar ni kubwa ndio maana tairi zimewaka moto.

Inawezekana kabisa hali ya hewa ilichangia kutokea ajali lakini Inawezekana kwa asilimia kubwa ndege ilikuwa na shida kama kawaida yao.

Rubaga ni Rubani wa zaidi ya Miaka 25 kwenye kazi hiyo , anajua well enough nini cha kufanya kwenye mazingira hayo ya hali ya hewa...alikuwa anaweza kurudi Mwanza na ni mara nyingi alishafanya Hivyo.

Ile ya juzi, ni tatizo la ndege ilipoteza control na ikagoma kutua kwa kutokana na hitilafu ndani ya mfumo wa matairi na mfumo wa injini. Ukijumlisha na hali ya hewa , mambo yakaharibika zaidi.

Naishauri Serikali, Isimamishe shughuli zote za Precision na kufanya uchunguzi yakinifu.

Kufanya special inspection ya ndege zote zinazomilikiwa na Precision Air ikiwa ni pamoja na kufanya “Age analysis”. Usikute haya mandege yamesha Expiry muda wake wa matumizi.

Kufanya special inspection kwa injinia wote wa Precision wanaokagua ndege kabla na baada kama kweli wana vigezo.

Mkurugenzi wa Precision awekwe chini ya ulinzi to extend further special inspection..... machozi yake yana maana nyuma ya pazia , wanajua wazi kuwa hawalipi vyema mainjinia wa Technical inspection. Matokeo yake wanafanya kazi les affairs na kisela.

Wanakagua ndege na kuzibaziba pancha kama waziba daladala za Buza.

Hali ya hewa inachukua nafasi ndogo sana kwenye ile ajali, ile ndege ilikuwa ni MBOVU.

Rubani aliyeendesha ni Experienced one , kwa hali ya hewa alikuwa na option nyingi na kwa kufanya mawasiliano na watu wa nchi kavu angeenda kutua Mwanza.

Hapo chini ni uzoefu wa Rubaga... ni zaidi ya 30 years

Captain Buruhani Rubaga

Captain

Precision Air Services PLC
2003 - Present · 19 yrs 11

Zantas Air
1993 - May 2003 · 10 yrs 5 mos

First Officer
AIR TANZANIA COMPANY LIMITED
1990 - 1993 · 3 yrs Bachelor's degree, Mechanical Engineering
1983 - 1987 Sri Jayachamarajendra College of Engineering, Mysore (QIP Centre)

Serikali TAKE Action au Mtazika watanzania wengi
Kwanini umeanzisha uzi haraka haraka kwa kichwa cha habari "Serikali isimamishe shughuli za Preision Air haraka" few hours after the accident...?

By the way, hoja zako zote unazojenga kuishawishi serikali ilifungie shirika hili hazina any scientific proof bali ni maoni na hisia zako tu....

I doubt that hii kitu probably ni hujuma za kibiashara tu toka Air Tanzania dhidi ya Preision Air na pengine mnataka kuitoa kwenye soko kampuni hii kama mlivyofanya kwa FastJet few year ago...

Hizi nyuzi zenu za "wafungiwe", "washitakiwe", simamisha shuguli za Preision Air" kabla hata ya uchunguzi wa kisayansi kukamilika + mazingira ya ajali yenyewe ilivyotokea na kuchelewa kwa vyombo vya uokozi vya serikali kwa zaidi ya masaa manne kufika kwenye tukio, inaweza kuwa ni uthibitisho wa hujuma na njama hizi...!!

Kwa hiyo, pls don't rush things. Don't be pessimistic. Subiri ripoti ya uchunguzi ya kitaalamu ndiyo tuhukumu...
 
Starting with KWANINI kwenye first paragraph shows how faster you are than the wisdom itself.

Talking about scientific proof is manipulation of the subject matter.

Hata science ilianza na personal experiences to bring truth on earth.

99% ya Imani yako ime base kwenye history na personal experience.........henceforth, Una guts gani za kusema ni maoni yako tu..... did you even read the comments?

Well , based on personal experience and other’s experience, ndege za Precision Air probably zimesha Expiry na ndio maana tumeishauri serikali kufanya age analysis.

Kwamba unataka kuniambia hakuna siku pale KIA tairi ya ndege ilipata pancha ? Ask them ,

Kwamba unataka kusema pale Tabora ndege haikushindwa kuchomoa tairi ? For 30min tupo hewani tuna strungle, what if mafuta yangekata at that moment ?

Kwamba unataka kusema pale JNIA tairi zenu hazikuwaka moto ? Je mlijibu nini ?

Kwamba unataka kusema hakuna siku watu tumetoka pale JNIA mpaka KIA huku injini moja haifanyi kazi ....?

Then What else utakachotumia kupata proof ?

Kwamba Unataka kusema hamjaari injia ambao background yao walisomea ufundi wa MAGARI , au unataka tutaje majina yao hapa ambao background yao ni Automobile Mechanical ,

We Mzee hebu tumia akili yako sawasawa... we are not making politics here ,

do you know mmeacha wajane wangapi,

do you know mmekatisha ndoto za dreamers wangapi,

do you know mmeacha mayatima wangapi just for your own inefficiencies kwenye business

Kabla hatujaanza kuilaumu the government, tunataka majibu kwenu kwanza.

Ndani ya dakika 30, tangu ndege kuanguka wahudumu wenu baadhi yao were all fine, kwa experience yao walipaswa kujua namna ya kusaidia ikiwa ni pamoja na kufungua milango ya Emergency Door. Baada ya dogo kuvunja mlango wa Emergency, muhudumu wenu nae akachomoka bila ya kujua code of conduct zinamtaka afanye nini ..... Hii ni ishara kuwa crew yenu haijawahi kuwa trained hata siku moja.

Kama Rubaga alikuwa anajua wazi kuwa anakwenda kutua kwenye maji, alitakiwa kuandaa watu ikiwa ni pamoja na ku unlock all Emergency Doors. Rubaga amefariki dakika 40 baada ya ndege kuanguka, ndani ya ndege kulikuwa na muhudumu ambae tunaamini ana Technical Experience za Emergency Issue ...... hata huyo nae ambae alipaswa kuwa na confidence na kufungua milango ..... matokeo yake alikimbia.

Tunataka ku review upya utendaji wenu na ndege mnazotumia kama bado zina kidhi vigezo. Hatutaki business as usual.

Ndege zenu zote zinatakiwa kufanyiwa disposal , tunajua kuwa mnatumia used spares to fix hizo pancha na matatizo ya injini and that scares us most .
 
Back
Top Bottom