Albedo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 5,558 Reaction score 1,456 Nov 15, 2009 #21 Kifupi ni Kwamba Bunge Limesalimu amri kwa Serikali
Buchanan JF-Expert Member Joined May 19, 2009 Posts 13,192 Reaction score 1,972 Nov 15, 2009 Thread starter #22 Ndege ya Uchumi said: Kifupi ni Kwamba Bunge Limesalimu amri kwa Serikali Click to expand... Leo kwenye gazeti la Majira imeandikwa kwamba suala la Richmond litaibuliwa katika NEC ya CCM, kwa hiyo bado halijaisha kabisa!
Ndege ya Uchumi said: Kifupi ni Kwamba Bunge Limesalimu amri kwa Serikali Click to expand... Leo kwenye gazeti la Majira imeandikwa kwamba suala la Richmond litaibuliwa katika NEC ya CCM, kwa hiyo bado halijaisha kabisa!
Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 53,857 Reaction score 121,995 Nov 15, 2009 #23 Ndege ya Uchumi said: Kifupi ni Kwamba Bunge Limesalimu amri kwa Serikali Click to expand... No sio bunge ni Six amesalimu amri kwa mafisadi na kuasaliti wapiganaji wake thenashara.
Ndege ya Uchumi said: Kifupi ni Kwamba Bunge Limesalimu amri kwa Serikali Click to expand... No sio bunge ni Six amesalimu amri kwa mafisadi na kuasaliti wapiganaji wake thenashara.
Buchanan JF-Expert Member Joined May 19, 2009 Posts 13,192 Reaction score 1,972 Nov 15, 2009 Thread starter #24 Pasco said: No sio bunge ni Six amesalimu amri kwa mafisadi na kuasaliti wapiganaji wake thenashara. Click to expand... Hili suala kama hawatalimaliza litaweka precedent mbaya sana kwa nchi yetu! Let's wait n c!
Pasco said: No sio bunge ni Six amesalimu amri kwa mafisadi na kuasaliti wapiganaji wake thenashara. Click to expand... Hili suala kama hawatalimaliza litaweka precedent mbaya sana kwa nchi yetu! Let's wait n c!