Serikali Isipotekeleza Maazimio 23 ya Bunge Kwa Usahihi, Bunge Litafanyaje?

Serikali Isipotekeleza Maazimio 23 ya Bunge Kwa Usahihi, Bunge Litafanyaje?

Kifupi ni Kwamba Bunge Limesalimu amri kwa Serikali
 
No sio bunge ni Six amesalimu amri kwa mafisadi na kuasaliti wapiganaji wake thenashara.

Hili suala kama hawatalimaliza litaweka precedent mbaya sana kwa nchi yetu! Let's wait n c!
 
Back
Top Bottom