Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Nina uhakika hakuna mtanzania anapenda kuonewa, lakini hii tabia ya Kila mwaka CAG anaeleza mabilioni yanayopigwa na wahusika wanaendelea kutamba na v8 mabarabarani ni uonevu mkubwa.
Kuna watu wanasota sana magerezani kama kina sabaya na wezi wa dagaa na kuku au tv na redio hakuna haja ya kuendelea kuwatesa watoto wa watu magerezani kwa wizi wa milioni Moja au laki mbili na hata 59000 wakati wezi wa mabilioni wapo mtaani.
Serikali iwe na huruma basi hata kidogo, kama imeamua kusamehe basi isamehe wote.