Nini kifanyike tuendelee kukaa kimya mpaka lini?Wizi unachangiwa na uongozi mbovu.
CCM huwa inabaka wananchi kuwa kuiba kura na kuwaambia imeunda serikali, kumbe ni wachache wajanja wanadanganya walio wengi ili kuwaibia.
Na ccm haitaki mwanachama wenye akili kama JPM.
Katiba mpya, katiba mpya 2. Elimu kwa wananchi 3. Muungano ufutwe 4. Utawala wa imla ufutwe mfano wanawake wamepewa nafasi ambazo hawaziwezi mfano msikilizeNini kifanyike tuendelee kukaa kimya mpaka lini?
Taja mmoja aliyeweza kuiba kipindi cha JPMHata wakati wa Magufuli wizi uliokuwapo. Mtu anapopata uteuzi maneno yetu kapata ulaji.
Nina uhakika hakuna mtanzania anapenda kuonewa, lakini hii tabia ya Kila mwaka CAG anaeleza mabilioni yanayopigwa na wahusika wanaendelea kutamba na v8 mabarabarani ni uonevu mkubwa.
Kuna watu wanasota sana magerezani kama kina sabaya na wezi wa dagaa na kuku au tv na redio hakuna haja ya kuendelea kuwatesa watoto wa watu magerezani kwa wizi wa milioni Moja au laki mbili na hata 59000 wakati wezi wa mabilioni wapo mtaani.
Serikali iwe na huruma basi hata kidogo, kama imeamua kusamehe basi isamehe wote.
VEO akiiba hata tofali 15 kesho TAKUKURU wanajaa kwakeNina uhakika hakuna mtanzania anapenda kuonewa, lakini hii tabia ya Kila mwaka CAG anaeleza mabilioni yanayopigwa na wahusika wanaendelea kutamba na v8 mabarabarani ni uonevu mkubwa.
Kuna watu wanasota sana magerezani kama kina sabaya na wezi wa dagaa na kuku au tv na redio hakuna haja ya kuendelea kuwatesa watoto wa watu magerezani kwa wizi wa milioni Moja au laki mbili na hata 59000 wakati wezi wa mabilioni wapo mtaani.
Serikali iwe na huruma basi hata kidogo, kama imeamua kusamehe basi isamehe wote.
Nimeishia hapo ulipo andika "akina sabaya"!Nina uhakika hakuna mtanzania anapenda kuonewa, lakini hii tabia ya Kila mwaka CAG anaeleza mabilioni yanayopigwa na wahusika wanaendelea kutamba na v8 mabarabarani ni uonevu mkubwa.
Kuna watu wanasota sana magerezani kama kina sabaya na wezi wa dagaa na kuku au tv na redio hakuna haja ya kuendelea kuwatesa watoto wa watu magerezani kwa wizi wa milioni Moja au laki mbili na hata 59000 wakati wezi wa mabilioni wapo mtaani.
Serikali iwe na huruma basi hata kidogo, kama imeamua kusamehe basi isamehe wote.
Nina uhakika hakuna mtanzania anapenda kuonewa, lakini hii tabia ya Kila mwaka CAG anaeleza mabilioni yanayopigwa na wahusika wanaendelea kutamba na v8 mabarabarani ni uonevu mkubwa.
Kuna watu wanasota sana magerezani kama kina sabaya na wezi wa dagaa na kuku au tv na redio hakuna haja ya kuendelea kuwatesa watoto wa watu magerezani kwa wizi wa milioni Moja au laki mbili na hata 59000 wakati wezi wa mabilioni wapo mtaani.
Serikali iwe na huruma basi hata kidogo, kama imeamua kusamehe basi isamehe wote.
Sirahisi kihivyo.. umesahau enzi fulani sakata la kina Lowassa, mjinga mmoja alisema wakiwataja nchi itatikisika???? wewe hapo unaweza kumtaja mtoto/mke wako????Nina uhakika hakuna mtanzania anapenda kuonewa, lakini hii tabia ya Kila mwaka CAG anaeleza mabilioni yanayopigwa na wahusika wanaendelea kutamba na v8 mabarabarani ni uonevu mkubwa.