Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Ni kweli kila kizuri kipo Dar ila kuwepo hapo sio kwamba kinasaidia mikoa mengine kuibuka kwa majiji.
Wimbi kubwa la wasomi, wafanyabiashara, watafuta maisha, miradi na n.k limelekezwa Dar na ili kufanya mikoa mingine kulemaa kila kitu sababu vyote vipo Dar.
Ni kweli kuna miji ambayo imekuwa kwa kulingana na kilichopo hiyo sehemu ila nayo imebakishwa tu sababu ya Dar.
Tatizo sehemu kudumaa sio la wananchi wenyewe ndio kukuza majiji bali hata serikali kuwepo mikono yote.
Tusifanye kama lile la awamu ya tano kipindi cha JPM kulazimisha chato.
Kinachotakiwa kukuza majiji ni kupeleka mambo muhimu ambayo ili huduma kufika na kukuza ajira.
Kilichofanyika mfano mzuri USA mambo yanausu maendeleo kama viwanda,uzalishaji,vyuo na mengine ulazimishwa kupeleka sehemu ambazo wananchi wamezikimbia.
Ikifikie miundo mbinu kuboreshwa na kuwekwa uzibiti ili kusaidia ukuwaji wa miji.
*Mfano kuna eneo la shinyanga isaka ilitakiwa kuwa bandari kavu ya africa mashiriki mizigo yote toka Bandari Dar inaleta kwa treni kuanzia mafuta,vyakula,bidhaa na n.k.
Magala ya mafuta na n.k ya nchi zilizopo rwanda,burundi,uganda,sudani,goma na jirani afrika kati ingekuwa kivutio kwa sababu kutafanya watu kupokea kirahisi ukilinganisha mpaka mtu kwenda kusafirisha mzigo toka.
*Mkoa wa tanga una bandari ingewefanywa kuwa bandari kubwa kwa ajili ya kuingiza mazao na kutoa mazao pamoja na bidhaa za viwandani kama ngozi,vyakula na n.k.
Hii ingesaidia kukuza uchumi wa jiji la tanga na bandari yake na pia reli yake kupeleka mazao mikoa mbali mbali na kuchukua.
*mkoa wa tanga na bandari yake kuwekezwa kwenye bidhaa kubwa zitokazo viwanda vyote.hii itafanya kuongezeka kwa shuguli kubwa za viwanda na kupunguza ukosefu wa ajila na kuongeza fursa za biashara.
*kigoma ,rukwa,katavi ndio ingekuwa sehemu kubwa ya kongo upande wake kuikuza miji inayotazamana na kufungua soko kubwa kwa ajili ya watu wa kongo.
Kuanzia vyuo,biashara kubwa kubwa miundo mbinu ingejengwa meli za kusafirisha bidhaa zao kubwa bila shida kuliko kuzunguka.
*musoma,arusha,moshi ni mikoa ambayo ingeipa sana uwezo kenya majirani kibiashara kubwa ikitegemea tanga kusafirishwa na isaka sababu inaangalia nyanda za juu.
*iringa,songea na njombe ilitakiwa kuwa na vyuo vikubwa sana vikiwa kati kati.
*Kagera,geita,shinyanga na mwanza kuwa sehemu kubwa soko la madini kubwa.
*Dodoma mji wa kiserikali upingiki na lazima shuguli zote ziwepo huko sababu ni kati.
*Lindi kuwa sehemu ya viwanda vya jeshi.
Ni hayo japo wazo