Lini Hali Itakuwa sawa?Hali kwa Watanzania ni mbaya sana mifukoni kipindi hiki cha kupanda kwa bei za bidhaa zote na ongezeko la kodi.
Kuna miradi ambayo inaweza kusimama kwa muda hadi hapo vumbi litakapo tuwama. Kama serikali Ina nia nzuri ya kuwasaidia Watanzania kwa njia ya kubana matumizi basi mahali pa kuanzia ni kujenga Dodoma kipindi hiki.
Kila wizara ilikuwa na ofisi tayari Dar es Salaam tunaweza kuendelea na ofisi hizo kwasasa hadi hapo hali yetu itakapokuwa sawa.
1979 tuliambiwa tufunge mikanda sikumbuki tuliifungua lini!!Lini Hali Itakuwa sawa?
Hivi nani kawambia kwamba hali ni mbaya kwa serikali pia? wakati wana uwezo wa kukusanya pesa nyingi kutoka kwenye matozo yao, mbali mbali ambayo haikuwekwa kwenye bajeti awali.Hali kwa Watanzania ni mbaya sana mifukoni kipindi hiki cha kupanda kwa bei za bidhaa zote na ongezeko la kodi.
Kuna miradi ambayo inaweza kusimama kwa muda hadi hapo vumbi litakapo tuwama. Kama serikali Ina nia nzuri ya kuwasaidia Watanzania kwa njia ya kubana matumizi basi mahali pa kuanzia ni kujenga Dodoma kipindi hiki.
Kila wizara ilikuwa na ofisi tayari Dar es Salaam tunaweza kuendelea na ofisi hizo kwasasa hadi hapo hali yetu itakapokuwa sawa.
Dawa ni kufundishana namna nzuri ya kupiga kura. Kila mtu awe tayari kudai katiba mpya inayolinda kura yake isipotee.Hivi nani kawambia kwamba hali ni mbaya kwa serikali pia? wakati wana uwezo wa kukusanya pesa nyingi kutoka kwenye matozo yao, mbali mbali ambayo haikuwekwa kwenye bajeti awali.
Hali ni mbaya tu kwa raia wa kawaida na watumushi wa chini wanao pokea mishahara bila allowances mbalimbali, disposable income yao imeshuka kwasabb ya mfumuko wa bei na tozo, kwa hiyo wana kosa megi katika maisha yao ya kila siku.
Hili la kufanya wana nchi masikini ni mpango maalumu wa CCM kama nchi nyingi Africa kuweza kufanya wananchi masikini zaidi na zaidi ili wa tawalike vzri hata wakipewa rushwa ndogo ya mchvi au kanga waweze kuwapa kura zao ili waendelee kuwatawala.( make them more poor and poorer to rule them)
Hilo haliwezekani na hiyo haipo ndio kwanza Serikali imetoa Bil.500 kukamilisha awamu ya pili ya ujenzi wa Mji wa serikali..Hali kwa Watanzania ni mbaya sana mifukoni kipindi hiki cha kupanda kwa bei za bidhaa zote na ongezeko la kodi.
Kuna miradi ambayo inaweza kusimama kwa muda hadi hapo vumbi litakapo tuwama. Kama serikali Ina nia nzuri ya kuwasaidia Watanzania kwa njia ya kubana matumizi basi mahali pa kuanzia ni kujenga Dodoma kipindi hiki.
Kila wizara ilikuwa na ofisi tayari Dar es Salaam tunaweza kuendelea na ofisi hizo kwasasa hadi hapo hali yetu itakapokuwa sawa.
Nivugumu kubadili watanzania CCM au Nyerere ni kunyima watanzania elimu bora, yakuwafanya wa jutegemee kimawazo, 90% wa hawana elimu wengi walushia darasa la 7. la kukalilishwa na kusifia upuuzi wa watawala, CCM ili fanikiwa kwa 100% kufanya wa Tanzania kua mbumbumbuDawa ni kufundishana namna nzuri ya kupiga kura. Kila mtu awe tayari kudai katiba mpya inayolinda kura yake isipotee.
Siting Allowance iweTsh 50000 tu pale Bungen! Zile posho walizipandisha zishushwe zaidini muda muafaka sasa wa Serikali kufunga mkanda !! Tuanzie kwenye ma V8 kwanza..hapala ambapo ukitaka kuwaudhi we sema uyaondoe barabarani afu wakopeswe R4.
Hiyo sheria wataipitisha wakina nani sasa?S
Siting Allowance iweTsh 50000 tu pale Bungen! Zile posho walizipandisha zishushwe zaidi
Kwani Dodoma kinafanyika nn cha ajabu?Hilo haliwezekani na hiyo haipo ndio kwanza Serikali imetoa Bil.500 kukamilisha awamu ya pili ya ujenzi wa Mji wa serikali..
Mwisho sio kazi ya serikali kuwaweka pesa mifukoni mwenu..
Kama maisha ni magumu pesa ya Bando umetoa wapi?
Hakuna mradi wa ajabu ambao unakula hela nyingi kiasi cha kusababisha hela isiwepo mtaani!Hali kwa Watanzania ni mbaya sana mifukoni kipindi hiki cha kupanda kwa bei za bidhaa zote na ongezeko la kodi.
Kuna miradi ambayo inaweza kusimama kwa muda hadi hapo vumbi litakapo tuwama. Kama serikali Ina nia nzuri ya kuwasaidia Watanzania kwa njia ya kubana matumizi basi mahali pa kuanzia ni kujenga Dodoma kipindi hiki.
Kila wizara ilikuwa na ofisi tayari Dar es Salaam tunaweza kuendelea na ofisi hizo kwasasa hadi hapo hali yetu itakapokuwa sawa.
Sheria ya tozo au hiyo posho ya kikaoo? Zote zinapitishwa na wao wenyewe.Hiyo sheria wataipitisha wakina nani sasa?
Tuwaulize nyie mnaotaka ujenzi usitishweKwani Dodoma kinafanyika nn cha ajabu?
Ushauri wa ajabu Sana Yani unataka Sasa mawaziri warudi dar? mnaweza simamisha iyo SGR, madaraja yasiyokua na tija maana Kuna upigaji, uza mav8, punguza posho za viongozi wenu na malupulupu, punguza mishahara ya viongozi wenu, ila makao makuu DODOMA LAZIMA Yakamilike, Yani katika yote umeona kusitisha ujenzi wa makao makuu ndo suluhu,na je hao wabunge 19 wasiokua na Chama wanafanya nini bungeni?Hali kwa Watanzania ni mbaya sana mifukoni kipindi hiki cha kupanda kwa bei za bidhaa zote na ongezeko la kodi.
Kuna miradi ambayo inaweza kusimama kwa muda hadi hapo vumbi litakapo tuwama. Kama serikali Ina nia nzuri ya kuwasaidia Watanzania kwa njia ya kubana matumizi basi mahali pa kuanzia ni kujenga Dodoma kipindi hiki.
Kila wizara ilikuwa na ofisi tayari Dar es Salaam tunaweza kuendelea na ofisi hizo kwasasa hadi hapo hali yetu itakapokuwa sawa.
Kwa maisha ya Sasa bando sio anasa ni sehem ya matumizi ya KILA siku watu wanaweka bado kujipatia mkate kupitia online mfano kubet n.k we vipi?Hilo haliwezekani na hiyo haipo ndio kwanza Serikali imetoa Bil.500 kukamilisha awamu ya pili ya ujenzi wa Mji wa serikali..
Mwisho sio kazi ya serikali kuwaweka pesa mifukoni mwenu..
Kama maisha ni magumu pesa ya Bando umetoa wapi?
Dawa ni kufundishana namna nzuri ya kupiga kura. Kila mtu awe tayari kudai katiba mpya inayolinda kura yake isipotee.
Kwahiyo kazi yake ni kuzichukua mifukoni mwa wananchi Kiholela?Hilo haliwezekani na hiyo haipo ndio kwanza Serikali imetoa Bil.500 kukamilisha awamu ya pili ya ujenzi wa Mji wa serikali..
Mwisho sio kazi ya serikali kuwaweka pesa mifukoni mwenu..
Kama maisha ni magumu pesa ya Bando umetoa wapi?