HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Habarini,
Ni maajabu na unafiki kwa serikali iliyoko madarakani kujinadi kuwa ni TIIFU kwa wananchi wake wakati inadaiwa na haina mpango wa kuwalipa kwa sasa hasa ukizingatia nchi inaingia kwenye uchaguzi mkuu mwakani.
Hivi inakuwaje wananchi wanaoidai serikali wasilipwe lakini viongozi i.e:mawazori,wabunge,wakurugenzi,nk wanasafir kila leo na posho zao zinalipwa kama kawaida?
Sioni sababu ya wananchi wanaoidai serikali na familia zao kushiriki kwenye uchaguzi kwa kupiga kura iwapo hawajaliowa madeni yao.
Huu ni wakati wa kuonesha umuhimu wa haki za wananchi kwa Taifa.
MGOMO ndiyo huwa njia pekee ya kujipatia haki kwa kusikilizwa ili mradi tu kusiwe na uvunjifu wa sheria.
Asanteni.