Serikali isiyotokana na ridhaa ya wananchi ni hatari kwa Usalama wa Taifa

Na si Malawi tu, kuna sehemu kibao tuna mgogoro wa mpaka, mfano Uganda inadai eti mpaka halisi baina yao na sisi ni ule wa degree moja chini ya Ikweta, pia Misri wanadai share kubwa ya maji ya ziwa victoria,

Je huyu mama anaweza kuwa amir jeshi mkuu muafaka wa kupiganishaa vita na nchi hizo ikibidi?. hofu yangu ni kuwa Wananchi wanaweza kumwambia kapigane wewe na polisi wako na wanajeshi wako sisi hatukutambui kama ni rasi wetu.
 
Of course hicho ndio kitu tutakachomwambia samuya akitaka kutumia Legal status of martial law tukivamiwa na adui yeyote yule.

Tena napenda hao akina Uganda na Malawi waanze ***** ***** za madai yao ya mipaka hata kesho, ikiwezekana watumi nguvu ya kijeshi kabisa, hili tuone hilo jeshi la akina ****** na Muliro litasaidia nini.
 
Mimk nimepiga kura tena najisikia faraja sana kutimiza uzalendo wangu kama Mtanzania
 
Mlilete ujinga tarehe 29 October mmefundishwa adabu, tulieni, rais SSH yupo mpaka 2030 mtaandika sana nyuzi zaidi ya hapo hamna jingine la maana mnaweza kufanya.
 
Mimk nimepiga kura tena najisikia faraja sana kutimiza uzalendo wangu kama Mtanzania
Wengi tumepiga kura, hawa jamaa walitaka kuivuruga nchi wameshughulikiwa ipasavyo.

Uhalali wa urais wake ni mengi anayoyafanya hapa Tanzania kila kukicha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…