The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Hi GreatThinkers
Hakuna namna naweza kuelezea hili tatizo. Naitaka serikali itangaze hadharani kwamba umeme umewashi.nda.
Inachukiza na kukasirisha sana kazi za billions of money zinasimama kisa umeme.
Mgao wa umeme unatishia ajira za maelfu ya watanzania huku bidhaa nazo zikipanda bei kiholelea maana production cost inaongezeka.
Sababu za kukatika umeme mpaka dakika hii hazijawekwa bayana shida hasa ni nini?..
Hiyo JNHP inaypigiwa makele ni ya juzi tu . Je umeme tuliokuwa tunatumia miaka nenda rudi umeenda wapi. Huku uzalishaji ulikuwa zaidi ya mahitajj yetu?