Jabari XVI
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,075
- 1,466
Wewe unasema jana na leo tu, mwenzako huku wilaya nilipo muda tunaopata umeme ni robo tu ya ule tunaokuwa bila ya umeme karibu kila siku, yani 25:100. Na shughuli yangu bila umeme ni sawa na bure. Tunafelishwa na tatizo hiliJana walisema kuna hitilafu, nikajua kwavile jana yote hakukua na umeme nchi nzima basi leo itakua afadhali. Cha ajabu na leo wamekata tangu asubuhi sasa sijui ni hitilafu inaendelea au ni nini?