Serikali itangaze Umeme kuwa janga la Kitaifa

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Hi GreatThinkers

Hakuna namna naweza kuelezea hili tatizo. Naitaka serikali itangaze hadharani kwamba umeme umewashi.nda.

Inachukiza na kukasirisha sana kazi za billions of money zinasimama kisa umeme.

Mgao wa umeme unatishia ajira za maelfu ya watanzania huku bidhaa nazo zikipanda bei kiholelea maana production cost inaongezeka.

Sababu za kukatika umeme mpaka dakika hii hazijawekwa bayana shida hasa ni nini?..

Hiyo JNHP inaypigiwa makele ni ya juzi tu . Je umeme tuliokuwa tunatumia miaka nenda rudi umeenda wapi. Huku uzalishaji ulikuwa zaidi ya mahitajj yetu?

Your browser is not able to display this video.
 
Kila mtu kuanzia Rais hadi m
 
Swala la umeme Tz ni changamoto kubwa mno yaani ambayo haiwezekani yaani umeme ni dude kubwa sana lililotushinda Kama Taifa. Nawaza magari yale kwenye ule msafara yakiuzwa na pesa ya mafuta yake kuongeza hapo hatuwezi kweli kupata mtambo hata wa jua tu
 
Serikali ikubali tu kuwa imeshindwa na itangaze tu kuwa hakuna fixes, imefeli.
Jana walisema kuna hitilafu, nikajua kwavile jana yote hakukua na umeme nchi nzima basi leo itakua afadhali. Cha ajabu na leo wamekata tangu asubuhi sasa sijui ni hitilafu inaendelea au ni nini?
 
huyu kijana wa clip kanichekesha kipumbavu 😂😂😂😂
 
Kuna two colours hapa:
1: serikali yenye siasa nyingi kuliko vitendo
2:Wafanyabiashara
Hii ya pili ndio inayoendesha 1,and they drive them very well sasa hivi solar equipment plus generator zinauzika sn plus rechargeable devices hapa wakubwa wanatengeneza hela vibaya mno then wanamuweka mtu wao aendeshe serikali wananchi wa kawaida we can’t win this until mabeberu waseme tumeshiba
 
Subirini katibu mwenezi tumpe changamoto ndogo sana hii just muwe wavumilivu, huu ni uzushi wa CHADEMA lakini hali ya utulivu ni ya hali ya juu sana.
I bet kuna hujuma tu, tatizo liko mkoa wa Katavi kule walimchagua mpinzani, wakati tulisema chagueni MCC nchi nzima, mkaleta mpinzani bungeni, haya tuone kama watawaletea electric city [emoji1] [emoji1787] [emoji23] [emoji38] [emoji1]
 
Jana walisema kuna hitilafu, nikajua kwavile jana yote hakukua na umeme nchi nzima basi leo itakua afadhali. Cha ajabu na leo wamekata tangu asubuhi sasa sijui ni hitilafu inaendelea au ni nini?
Mkuu hii ndio tafsiri halisi ya nchi masikini. Tuna umasikini wa vipato hadi fikra.
 
Jenerali Mkunda tusaidie wananchi wenzio kwa kuwachomoa madarakani hao wahamiaji haramu waliopo kwenye nafasi za maamuzi.
 

Una hoj, usikilizwe. Ziara zangu zingekuwa Tanesco, maji, ardhi, mahakama, polisi, halmashauri.

Vinagusa 90% ya Watanzania wote. Kupendwa tatua kero zao. Hakuna uchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…