Serikali itangaze Umeme kuwa janga la Kitaifa

Jana walisema kuna hitilafu, nikajua kwavile jana yote hakukua na umeme nchi nzima basi leo itakua afadhali. Cha ajabu na leo wamekata tangu asubuhi sasa sijui ni hitilafu inaendelea au ni nini?
Wewe unasema jana na leo tu, mwenzako huku wilaya nilipo muda tunaopata umeme ni robo tu ya ule tunaokuwa bila ya umeme karibu kila siku, yani 25:100. Na shughuli yangu bila umeme ni sawa na bure. Tunafelishwa na tatizo hili
 
Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…