Serikali itatoa elimu ya katiba kwa Wananchi kwa miaka mitatu August 28,2023

Serikali itatoa elimu ya katiba kwa Wananchi kwa miaka mitatu August 28,2023

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,322
Reaction score
3,648
Leo ni miaka mitatu tayari nadhani ni wakati muafaka kuanza mchakato wa katiba
 

Attachments

  • IMG-20260830-WA0152.jpg
    IMG-20260830-WA0152.jpg
    70 KB · Views: 10
1. Katiba ni kijitabu tu
2. Watanzania wanataka ugali mezani sio katiba mpya
3. Katiba tuliyonayo nzuri sana ndio maana tunabadilishana madaraka ya juu kwa amani kabisa bila kuwa na mizozo, na mabalozi mmeona.
 
Ningependa kujua ni idadi ya watu walio bahatika kupata hii elimu ya katiba mpya
 
Back
Top Bottom