Mwande na Mndewa JF-Expert Member Joined Feb 26, 2021 Posts 1,322 Reaction score 3,648 Aug 30, 2026 #1 Leo ni miaka mitatu tayari nadhani ni wakati muafaka kuanza mchakato wa katiba Attachments IMG-20260830-WA0152.jpg 70 KB · Views: 10
Mzee wa Udambwi Member Joined Feb 26, 2026 Posts 82 Reaction score 237 Aug 30, 2026 #2 Hawa jamaa ni ni waongo sana sana
pakashumeeew Senior Member Joined Oct 11, 2025 Posts 157 Reaction score 361 Aug 30, 2026 #3 1. Katiba ni kijitabu tu 2. Watanzania wanataka ugali mezani sio katiba mpya 3. Katiba tuliyonayo nzuri sana ndio maana tunabadilishana madaraka ya juu kwa amani kabisa bila kuwa na mizozo, na mabalozi mmeona.
1. Katiba ni kijitabu tu 2. Watanzania wanataka ugali mezani sio katiba mpya 3. Katiba tuliyonayo nzuri sana ndio maana tunabadilishana madaraka ya juu kwa amani kabisa bila kuwa na mizozo, na mabalozi mmeona.
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 13,075 Reaction score 38,625 Aug 30, 2026 #4 Ningependa kujua ni idadi ya watu walio bahatika kupata hii elimu ya katiba mpya
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 24,523 Reaction score 30,084 Aug 30, 2026 #5 Mwande na Mndewa said: Leo ni miaka mitatu tayari nadhani ni wakati muafaka kuanza mchakato wa katiba Click to expand... Miaka mitatu inaanzia baada ya pale ilipotangazwa, hivyo mchakato wa mchakato wa kufikiria na kudadavua mchakato wa kutoa elimu uanzwe kusukwa sasa.
Mwande na Mndewa said: Leo ni miaka mitatu tayari nadhani ni wakati muafaka kuanza mchakato wa katiba Click to expand... Miaka mitatu inaanzia baada ya pale ilipotangazwa, hivyo mchakato wa mchakato wa kufikiria na kudadavua mchakato wa kutoa elimu uanzwe kusukwa sasa.