Serikali itazame hivi vyanzo vipya vya kodi

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
1.Watu wanaouziana magari used ndani ya nchi serikali inekuwa ikipata pesa kwenye kuchange owner name basi ingefaaa pia kabla ya kufanya changes mhusika awasilishe na mkataba wa mauziano ili aweze kulipia 18%VAT

Kila siku mlimani city sio chini ya magari 20 yanauzwa pale

2.Biashara ya kupanga nyumba kupitia App hasa Airbnb.

Serikali imekuwa ikikosa mapato pia nashauri nyumba zinazofanya hiyo biashara zijulikane na pia utazamwe utaratibu wa kulipa kodi.
 
Mtoa mada unajua kodi anayoilipa mtu anaeagiza gari nje ya nchi?
Basi kwa taarifa yako hio kodi tu ya kuagiza gari imejumuisha na mauziano ya watu 10 mbele.
 
Leta ushahidi
 
1.Watu wanaouziana magari used ndani ya nchi serikali inekuwa ikipata pesa kwenye kuchange owner name basi ingefaaa pia kabla ya kufanya changes mhusika awasilishe na mkataba wa mauziano ili aweze kulipia 18%VAT

Kila siku mlimani city sio chini ya magari 20 yanauzwa pale

2.Biashara ya kupanga nyumba kupitia App hasa Airbnb.

Serikali imekuwa ikikosa mapato pia nashauri nyumba zinazofanya hiyo biashara zijulikane na pia utazamwe utaratibu wa kulipa kodi.
Kwanza fahamu kirefu cha VAT. Ni Value Added Tax kiswahili ni Kodi ya Ongezeko la Bei.

Nanunua kitu 500 nauza 700 kuna ongezeko la bei 200 natakiwa nililipie Kodi.

Mtu anayeuza gari used hilo sio ongezeko la bei, sababu most of time kitu kikishatumika kinakuwa bei rahisi. Mtu alinunua Gari milioni 10 katumia miaka 5 anauza milioni 8 hapa bei imepungua why alipe Kodi ya Ongezeko la bei? Hajapata Faida.
 
Wanaouziana magari hutozwa Kodi wakati wa kubadili umiliki..labda kama ulikua huna uelewa huo
 
Mkuu gari ukinunua,, TRA wanachukua chao pale unaenda kubadilisha umiliki.....

Haijalishi umenunua Body peke ake au gari imechakaa vipi,, ukibadili umiliki lazima ulipie
 
Back
Top Bottom