Serikali itazame ujenzi holela wa vibanda mitaani

Serikali itazame ujenzi holela wa vibanda mitaani

Siku mtu akiwapitia na gari machinga hata 10 walioko pembezoni ya barabara mje hapa kusema ni kazi ya Mungu.

Kazi ya Mungu wakati tumeamua kuwa wapumbavu?
Niwakati sasa wenye magari wawe makini ili kuwanusuru ndg zetu wajasiriamali
 
Tena wana kiburi hawa jamaa mpk unashangaa
 
Naomba serikali yetu ya mama Samia ifanye juu chini kuondoa vibanda barabarani.

Mji unazidi kuharibika naona wameanza hapo Ilala mtaa wa Uhuru ukuta wa Hospitali ya Amana kuweka vibanda na meza za kudumu.

View attachment 1883535
Ni kama vile hakuna uwajubikaji katika mamlaka za miji/halmashauri.
 
Acha roho mbaya,unataka vibanda visiwepo wakale wapi?maisha yeynyewe magum tozo kama zote.

Unakereka ama kupungukiwa na nini hivo vibanda vikiwa hapo?
 
"Hao ndio wapiga kura wetu sisi CCM...tukiwatoa watawapigia kura wapinzani wetu", alisikika mjumbe mmoja akitoa hoja kwenye kikao cha chama
 
Halmashauri ya sehemu husika zinashindwa kufanya ubunifu imefanya Mitaa na barabara kuonekana chafu
 
Back
Top Bottom