Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Niwakati sasa wenye magari wawe makini ili kuwanusuru ndg zetu wajasiriamaliSiku mtu akiwapitia na gari machinga hata 10 walioko pembezoni ya barabara mje hapa kusema ni kazi ya Mungu.
Kazi ya Mungu wakati tumeamua kuwa wapumbavu?
una akili ndogo sana....Niwakati sasa wenye magari wawe makini ili kuwanusuru ndg zetu wajasiriamali
Ni kama vile hakuna uwajubikaji katika mamlaka za miji/halmashauri.Naomba serikali yetu ya mama Samia ifanye juu chini kuondoa vibanda barabarani.
Mji unazidi kuharibika naona wameanza hapo Ilala mtaa wa Uhuru ukuta wa Hospitali ya Amana kuweka vibanda na meza za kudumu.
View attachment 1883535
Wapiga kura hao WA CCMNaomba serikali yetu ya mama Samia ifanye juu chini kuondoa vibanda barabarani.
Mji unazidi kuharibika naona wameanza hapo Ilala mtaa wa Uhuru ukuta wa Hospitali ya Amana kuweka vibanda na meza za kudumu.
View attachment 1883535