Tunapowalaumu tu watunga sera au wafanya maamuzi kwenye suala hili la ukosefu wa ajira, inakuwa si sawa sana. Issue hii ni complicated ¶doxical, hivyo inahitaji kutuliza vichwa kweli kweli kufikiri kuliko kurushiana maneno.
Suala hili ni mfano wa korona ambayo licha ya kuwa tuna uhakika ni tatizo ambalo kweli lipo lakini wengi hawajui dawa ni nini na kuwa kiongozi pekeee hakukufanyi ujue dawa.
Kwa hiyo ni muhimu kila mtu aka play party yake.
Uzuri ni kwamba kwa utafiti ambao nimeufanya mwaka 2019- 2020, inaoneka kwamba kwa miaka ya hivi karibuni, maamuzi mengi ya viongozi wa nchi mbalimbali duniani huathiriwa kwa kiasi flani na mijadala mbalimbali inayofanyika mitandaoni. Uzuri zaidi ni kwamba ipo dalili kwamba serikali hii ya awamu ya sita itakuwa inashaurika vyema zaidi kuliko hapo kabla.
Hivyo tutumie mitandao hii wisely, na nawahakikishia kuna kitu kizuri kitatokea inshaallah.