Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Katiba ndio kitu kinachoweka muongozo wa nchi na jinsi ya watu kuhusiana katika taifa, kwa umuhimu huo serikali itenge siku maalumu(public holiday) ya kuadhimisha na kusheherekea katiba ya nchi yetu(constitutional day) kukuza uzalendo na utaifa wa taifa. Ni muhumu siku hiyo ikawa katikati ya wiki kuongeza hamasa.