bongodili tele
JF-Expert Member
- Jun 8, 2024
- 1,520
- 3,022
Wasalamu, Ukitaka kwenda mikoa ya kusini kutokea Ifakara option ni mbili lazima uje Dar au upite Makambako Songea ambapo itakuchukua siku mbili.
Tofauti na kama ikipatikana barabara ya kupita mbuga ya Selous utatumia masaa sita kufika Lindi na mikoa ya Kusini.
Ipo njia ya miguu wanatumia siku mbili hadi tatu kufika Lindi kwa kusindikizwa na askari game kwa wiki ni kama mara mbili.
Mkitaka kufika Lindi tokea Mahenge mnajikusanya hadi muwe wengi ndo mnaanza mguu kwa mguu mbugani kwa kusindikizwa na askari nyakati za kiangazi.
Ikijengwa barabara ni masaa sita umefika Liwale Lindi.
Wabunge wa wilaya ya Ulanga na Liwale litazameni hili ili kukuza uchumi wa wilaya hizi.
Kwani hamtaki mpunga na samaki toka kilombero?