Serikali itoe bei elekezi ya maji ya chupa kama kwenye soda!

President Elect

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
693
Reaction score
212
Wakati sasa umefika kwa mamlaka husika kutoa bei elekezi kwa maji ya kunywa ya chupa! Pamoja na kutofautiana ubora wa vifungashio, naona dhuluma kubwa kwa mlaji ikizingatiwa maji safi na salama ni uhai na haki ya msingi kwa binadamu wote, na haki hii haina budi kutajwa kwenye rasimu ya katiba. Leo hii ukitoka nje ya mji kama unasafiri utauziwa maji ya kilimanjaro nusu lita sh.1,000/- na bei hiyo hiyo kwa maji ya uhai ya lita moja....Aibu...Aibu....Aibu!
 
Mkuu kwani umekatazwa kuchimba kisima au kutega mvua upate maji ya bure kabisa ?.., Haya mambo ni biashara na kuongeza value na ushindani (ukilazimisha watu bei) na wakiona hailipi wataacha kuuza hapo itabidi turudi kwenye tumifuko twa plastic
 
Back
Top Bottom