LGE2024 Serikali itoe elimu kuelimisha wananchi umuhimu wa kujiandikisha, huo utaratibu wa kuwafata majumbani kuwaandisha haulisaidii taifa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

kichongeochuma

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2024
Posts
1,669
Reaction score
2,864
Naishauri serikali ipambane kuelimisha jamii na kutenda yale yanayo ijengea imani jamii ili ijue umuhimu wa kujiandikisha ,

Na sio kulazimisha mawakala kufuata wananchi majumbani ambako wana ambulia matusi na kejeli na pia haiwajengei wananachi utaratibu wa kuona ni wajibu kujiandikisha na kupiga kura kwa hiyari.

Soma Pia: Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video
kwahiyo umefuatwa na maafisa waandikishaji hadi nyumbani kwako kama kipindi kile cha sensa vile, right?:pedroP:

kwamba wewe ni muhimu sana au niaje kwa mfano tuanzie hapo, isije ikawa unapotosha gentleman? :NoGodNo:
 
Nimefuatwa nyumbani kwangu na kwa bahati nzuri mimi na familia yangu ambao tuna kidhi vigezo vya kujiandikisha tulisha kwenda kituoni kujiandikisha siku ya pili tu baada ya zoezi kuanza , ingawa nilistaajabu kidogo kuona tumefikia hatua hiyo ya kufuatana majumbani kujiandikisha si jambo jema kwa ustawi wa maendeleo ya kisiasa nchini
 
Kituo kinafunguliwa saa mbili asbh mpaka jioni idadi inasoma watano.uhamasishaji unafanyika lakini watu hawatoki wanasema wamechoka kupiga kura kwasababu uchaguzi sio huru.

Pamoja na mapambio mengi ya CCM inapendwa ni aibu.sasa vituo vimeanza kuwafuata watu majumbani wajiandikishe yaani kwa lazima huku umesimamiwa.

CCM na Selikari ijitafakari hii sio kawaida ni aibu Wananchi sasa wamewagundua kile wanachokichagua ktk boksi la kura mnaona sasa wanaona yanini kupiga kura
 
Nimefuatwa nyumbani kwangu na kwa bahati nzuri mimi na familia yangu ambao tuna kidhi vigezo vya kujiandikisha tulisha kwenda kituoni kujiandikisha siku ya pili tu baada ya zoezi kuanza , ingawa nilistaajabu kidogo kuona tumefikia hatua hiyo ya kufuatana majumbani kujiandikisha si jambo jema kwa ustawi wa maendeleo ya kisiasa nchini
ulifuatwa na watu wa vyama vya siasa au maafisa yandikishaji au matapeli?

ulivyokwenda kituoni kujiandikisha, wale maafisa ulowakuta, walikua ni wale waliokufuata nyumbani kwako au siyo? :NoGodNo:
 
Naishauri serikali ipambane kuelimisha jamii na kutenda yale yanayo ijengea imani jamii ili ijue umuhimu wa kujiandikisha ,

Na sio kulazimisha mawakala kufuata wananchi majumbani ambako wana ambulia matusi na kejeli na pia haiwajengei wananachi utaratibu wa kuona ni wajibu kujiandikisha na kupiga kura kwa hiyari.

Soma Pia: Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video
Una waelimisha watu wajiandikishe na kura wapige afu matokeo ni yakwako unajiamulia..?
 
Waligomea Maandamano ya Amani leo tukajiandikishe ili iweje waache tuone cheche ila 2025 kitanuka lazima to much
 
Usi hofu, we subiri siku ya kupiga kura ndio utaona maajabu.
 
Naishauri serikali ipambane kuelimisha jamii na kutenda yale yanayo ijengea imani jamii ili ijue umuhimu wa kujiandikisha ,

Na sio kulazimisha mawakala kufuata wananchi majumbani ambako wana ambulia matusi na kejeli na pia haiwajengei wananachi utaratibu wa kuona ni wajibu kujiandikisha na kupiga kura kwa hiyari.

Soma Pia: Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video
Na je siku ya kura wapigaji kura watafuatwa nyumbani kwao?
 
Wanaopita majumbani ni watu wa CCM. wapinzani wako bize mitandaoni, alafu wakila za uso waanze kusema wameibiwa kura. Hawako serious kabisa.
 
mutafuatwa na mitutu ya bunduki mkajiandikishe. ccm inanipa laha thana. inachapa bakora :FrogeBonk: mbuzi zake za jamhuri ya danganyika.ina enjoy kwa kweli
 
Issue sio elimu bali upuuzi unaendelea kwenye nchi hii unachosha sana.
 
Tanzania kupiga kura ni kujifurahisha tu na kujiwekea rekodi binafsi ya kwamba ulishirirki uchaguzi.
Sio kweli kabisa. 2019 na 2020 ndio miaka pekee ambayo uchaguzi uliharibika. Mwaka huu na mwakani mambo yatakuwa fair. Ndio maana CCM wanafanya kazi ya ziada.
 
Back
Top Bottom