kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
kwahiyo umefuatwa na maafisa waandikishaji hadi nyumbani kwako kama kipindi kile cha sensa vile, right?Naishauri serikali ipambane kuelimisha jamii na kutenda yale yanayo ijengea imani jamii ili ijue umuhimu wa kujiandikisha ,
Na sio kulazimisha mawakala kufuata wananchi majumbani ambako wana ambulia matusi na kejeli na pia haiwajengei wananachi utaratibu wa kuona ni wajibu kujiandikisha na kupiga kura kwa hiyari.
Soma Pia: Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video
Nimefuatwa nyumbani kwangu na kwa bahati nzuri mimi na familia yangu ambao tuna kidhi vigezo vya kujiandikisha tulisha kwenda kituoni kujiandikisha siku ya pili tu baada ya zoezi kuanza , ingawa nilistaajabu kidogo kuona tumefikia hatua hiyo ya kufuatana majumbani kujiandikisha si jambo jema kwa ustawi wa maendeleo ya kisiasa nchinikwahiyo umefuatwa na maafisa waandikishaji hadi nyumbani kwako kama kipindi kile cha sensa vile, right?
kwamba wewe ni muhimu sana au niaje kwa mfano tuanzie hapo, isije ikawa unapotosha gentleman?
ulifuatwa na watu wa vyama vya siasa au maafisa yandikishaji au matapeli?Nimefuatwa nyumbani kwangu na kwa bahati nzuri mimi na familia yangu ambao tuna kidhi vigezo vya kujiandikisha tulisha kwenda kituoni kujiandikisha siku ya pili tu baada ya zoezi kuanza , ingawa nilistaajabu kidogo kuona tumefikia hatua hiyo ya kufuatana majumbani kujiandikisha si jambo jema kwa ustawi wa maendeleo ya kisiasa nchini
Una waelimisha watu wajiandikishe na kura wapige afu matokeo ni yakwako unajiamulia..?Naishauri serikali ipambane kuelimisha jamii na kutenda yale yanayo ijengea imani jamii ili ijue umuhimu wa kujiandikisha ,
Na sio kulazimisha mawakala kufuata wananchi majumbani ambako wana ambulia matusi na kejeli na pia haiwajengei wananachi utaratibu wa kuona ni wajibu kujiandikisha na kupiga kura kwa hiyari.
Soma Pia: Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video
Serikali ijitafakari. Isitafute suruhisho la muda mfupi.Na sio kulazimisha mawakala kufuata wananchi majumbani ambako wana ambulia matusi na kejeli
Na hiyo ndiyo concern yanguSerikali ijitafakari. Isitafute suruhisho la muda mfupi.
Na je siku ya kura wapigaji kura watafuatwa nyumbani kwao?Naishauri serikali ipambane kuelimisha jamii na kutenda yale yanayo ijengea imani jamii ili ijue umuhimu wa kujiandikisha ,
Na sio kulazimisha mawakala kufuata wananchi majumbani ambako wana ambulia matusi na kejeli na pia haiwajengei wananachi utaratibu wa kuona ni wajibu kujiandikisha na kupiga kura kwa hiyari.
Soma Pia: Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video
Wewe wakikuelimisha utawaamini?!!Naishauri serikali ipambane kuelimisha jamii
Tanzania kupiga kura ni kujifurahisha tu na kujiwekea rekodi binafsi ya kwamba ulishirirki uchaguzi.Wanaopita majumbani ni watu wa CCM. wapinzani wako bize mitandaoni, alafu wakila za uso waanze kusema wameibiwa kura. Hawako serious kabisa.
Sio kweli kabisa. 2019 na 2020 ndio miaka pekee ambayo uchaguzi uliharibika. Mwaka huu na mwakani mambo yatakuwa fair. Ndio maana CCM wanafanya kazi ya ziada.Tanzania kupiga kura ni kujifurahisha tu na kujiwekea rekodi binafsi ya kwamba ulishirirki uchaguzi.