kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Sina takwimu zozote lakini hali ya vifo vinavyotokea sasa hivi, siyo ya kawaida.
Inatia hofu kuona harakati za shughuli nzima ya msiba ni zile zile za kawaida.
Hata Viongozi wa Dini wameamua kumjaribu Mungu kwa kushindwa kutoa tahadhari ili kuwalinda baadhi ya watu.
Natoa rai kwa Serikali yangu, iseme neno kidogo kuhusiana na suala la misiba.