kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Mkuu achana na hao, nasisitiza wote hao wanalishwa na waume zao au shemeji zao. Mwanaume unayepambana mwenyewe huwezi kuamka jumatatu asubuhi asubuhi unawaza Corona tu, haiwezekani kabisa. That's a simple logic.Watu huku kitaa maisha yanasonga mbele hakuna cha barakoa wala nduguze. Endeleeni kumpeeb Mungu atawapa majibu kwa Majira yake na mtafedheheka vilivyo.
Dalali wa Chanjo KaziniSina takwimu zozote lakini hali ya vifo vinavyotokea sasa hivi, siyo ya kawaida.
Inatia hofu kuona harakati za shughuli nzima ya msiba ni zile zile za kawaida...
Mi nashindwa kuelewa hawa watu! Level seat inakuwa ngumu sababu mafuta gharama zipo juu ndio maana wenye magari wanalazimika kuwalundika tu kama miwa!Afadhali Diallo aliyesema levo seat irudishwe kwenye vyombo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku kondakta wa daladala yoyote ambaye kwa wastani kwa siku anapokea nauli na kurudisha chenji za abiria zaidi ya 1000 kwa siku amelazwa au kufa kwa Covid ndo nitaamini huo ugonjwa wenu ni hatari. Vinginevyo mnaokomalia hizi habari za Corona nahisi aidha mnalishwa na waume zenu au mnakaa kwa shemeji zenu. Mwanaume anayejipambania kupata kipato hawezi kuamka jumatatu asubuhi anawaza Corona tu. Ficheni upumbavu wenu basi, sio lazima kuu expose.
Levo siti huku wengine hawajavaa barakoa wengine wamevaa,wengine wamejificha kwa kukalia vibenchi ili traffic asiwaone.Afadhali Diallo aliyesema levo seat irudishwe kwenye vyombo.
Watakwambia hao makonda ni carrier hawaumwi kwa sababu ni vijana, corona inawaathiri watu wenye umri mkubwa.Siku kondakta wa daladala yoyote ambaye kwa wastani kwa siku anapokea nauli na kurudisha chenji za abiria zaidi ya 1000 kwa siku amelazwa au kufa kwa Covid ndo nitaamini huo ugonjwa wenu ni hatari. Vinginevyo mnaokomalia hizi habari za Corona nahisi aidha mnalishwa na waume zenu au mnakaa kwa shemeji zenu. Mwanaume anayejipambania kupata kipato hawezi kuamka jumatatu asubuhi anawaza Corona tu. Ficheni upumbavu wenu basi, sio lazima kuu expose.
Barakoa iwe lazima kwenye mikusanyikoLevo siti huku wengine hawajavaa barakoa wengine wamevaa,wengine wamejificha kwa kukalia vibenchi ili traffic asiwaone.
Wanafuata nyayo za dhalim kwani ndiyo aliyevunja itifaki ya mazishi ya watu waliokufa kwa Corona.Sina takwimu zozote lakini hali ya vifo vinavyotokea sasa hivi, siyo ya kawaida.
Inatia hofu kuona harakati za shughuli nzima ya msiba ni zile zile za kawaida...
Hivi mkuu kipindi kile walivyoweka level seat hukuona shida ya usafiri kwa abiria? unaweza kukaa kituoni masaa matatu gari zinakuja ila zinachukua abiria wachache na kuondoka, kujaza watu kwenye daladala ni kutokana na shida ya usafiri sio kwamba watu wanapenda kusimama na kubanana kwenye daladala.Mi nashindwa kuelewa hawa watu! Level seat inakuwa ngumu sababu mafuta gharama zipo juu ndio maana wenye magari wanalazimika kuwalundika tu kama miwa!...
Lakini gari zikiwa nyingi hilo tatizo naimani litaisha! Mfano gari zikawa zinapita express way ya mwendo kasi bila bugudha au waombe njia iwe ya dala dala tu naimani swala la level seat litawezekana mkuuHivi mkuu kipindi kile walivyoweka level seat hukuona shida ya usafiri kwa abiria? unaweza kukaa kituoni masaa matatu gari zinakuja ila zinachukua abiria wachache na kuondoka, kujaza watu kwenye daladala ni kutokana na shida ya usafiri sio kwamba watu wanapenda kusimama na kubanana kwenye daladala.
Hao watu wanajua matumizi sahihi ya barakoa? kama watu wanaishia kujua kuvaa tu barakoa pasina kujua uvaaji sahihi basi hapo hatutakuwa tunajikinga bali tunaeneza hayo maradhi.Barakoa iwe lazima kwenye mikusanyiko
Hata sasa gari ni nyingi.Lakini gari zikiwa nyingi hilo tatizo naimani litaisha! Mfano gari zikawa zinapita express way ya mwendo kasi bila bugudha au waombe njia iwe ya dala dala tu naimani swala la level seat litawezekana mkuu
Sasa tatizo liko wapi? Kwa sababu kinachozingua ni kwakuwa gari hazina utaratibu maalum wa safari! Kama every after 5 minutes gari inatoka kituoni kwa utaratibu na kwenda mwendokasi na kubeba watu pale hutakuta mtu hata mmoja anakosa usafiri!Hata sasa gari ni nyingi.
Mbona hata Condom elimu ilitolewa na sasa watu wameshaelewa.Hao watu wanajua matumizi sahihi ya barakoa? kama watu wanaishia kujua kuvaa tu barakoa pasina kujua uvaaji sahihi basi hapo hatutakuwa tunajikinga bali tunaeneza hayo maradhi.