Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Siku kondakta wa daladala yoyote ambaye kwa wastani kwa siku anapokea nauli na kurudisha chenji za abiria zaidi ya 1000 kwa siku amelazwa au kufa kwa Covid ndo nitaamini huo ugonjwa wenu ni hatari. Vinginevyo mnaokomalia hizi habari za Corona nahisi aidha mnalishwa na waume zenu au mnakaa kwa shemeji zenu. Mwanaume anayejipambania kupata kipato hawezi kuamka jumatatu asubuhi anawaza Corona tu. Ficheni upumbavu wenu basi, sio lazima kuu expose.
SIFA YA MWANAUME NI KUWA NA MITAZAMO KAMA HII.
Haya mabasi ya mwendokasi ni makubwa ila kama wangeagiza na mengine madogo kwa route tofauti ingekuwa bora sana kwani bado demand ni kukubwa sana
Kama unaona watu wanakosa kupanda bus walilotarajia basi kuna umuhimu wa kuongeza mabasi madogo mengi zaidi
Mataifa mengi makubwa duniani public transport wanachanganya mabasi sio makubwa tu
Tuamke twende na waka
Subiri siku ukihama kwa dada yako anayekulisha au siku dada yako akiachika kwa shemeji yako na imani hutakuwa unawaza Korona muda wote.
ila kwa sasa unahaki zote za kuwaza Korona maana huna kazi unayoifanya zaidi ya kubadilisha stesheni tu ya TV.
Ila huu ujinga jitahidi kuuficha
Sizungumzii vitu kama kuvaa barakoa kwa kuziba mdomo tu na kuachia pua bali nazungumzia vitu kama kunawa mikono kabla ya kuvaa na kuvua barakoa,ni vp uvue barakoa n.k ila sasa ukiangalia unaona kuhimizana kuvaa barakoa tu.Mbona hata Condom elimu ilitolewa na sasa watu wameshaelewa.
Haina shida mwambieni Mama atangaze lockdown nchi nzimaSina takwimu zozote lakini hali ya vifo vinavyotokea sasa hivi, siyo ya kawaida.
Inatia hofu kuona harakati za shughuli nzima ya msiba ni zile zile za kawaida.
Hata Viongozi wa Dini wameamua kumjaribu Mungu kwa kushindwa kutoa tahadhari ili kuwalinda baadhi ya watu.
Natoa rai kwa Serikali yangu, iseme neno kidogo kuhusiana na suala la misiba.
Acha kupotosha kuvaa barakoa hakuhitaji kunawa mikono.nazungumzia vitu kama kunawa mikono kabla ya kuvaa na kuvua barakoa
Kumbe hata wewe hujui hilo sasa huko mtaani hali ikoje? ndio maana nikasema watu hawajui uvaaji sahihi wa barakoa na matokeo yake ni kueneza maradhi badala ya kujikinga.Acha kupotosha kuvaa barakoa hakuhitaji kunawa mikono.
Siku kondakta wa daladala yoyote ambaye kwa wastani kwa siku anapokea nauli na kurudisha chenji za abiria zaidi ya 1000 kwa siku amelazwa au kufa kwa Covid ndo nitaamini huo ugonjwa wenu ni hatari. Vinginevyo mnaokomalia hizi habari za Corona nahisi aidha mnalishwa na waume zenu au mnakaa kwa shemeji zenu. Mwanaume anayejipambania kupata kipato hawezi kuamka jumatatu asubuhi anawaza Corona tu. Ficheni upumbavu wenu basi, sio lazima kuu expose.
Wewe unajirusha ufahamu tu.Kumbe hata wewe hujui hilo sasa huko mtaani hali ikoje? ndio maana nikasema watu hawajui uvaaji sahihi wa barakoa na matokeo yake ni kueneza maradhi badala ya kujikinga.
Afadhali Diallo aliyesema levo seat irudishwe kwenye vyombo.
Point!!Mi nashindwa kuelewa hawa watu! Level seat inakuwa ngumu sababu mafuta gharama zipo juu ndio maana wenye magari wanalazimika kuwalundika tu kama miwa!...
Sasa waziri mzima anashindwa kufikiria vitu vya namna hii wamekazania kujaza kodi kwenye mafuta tuPoint!!
Bora yeye kuliko wewe sh*t tank wa Lumumbadiallo kawa think tank wa ufipa ghafla[emoji16][emoji16]
Wewe inahtaji ukapimwe akili yako, hata panya ankuzidi akili. You are an imbecile. You should be an MP ikakae dodoykarobu na Milembe hospitalSiku kondakta wa daladala yoyote ambaye kwa wastani kwa siku anapokea nauli na kurudisha chenji za abiria zaidi ya 1000 kwa siku amelazwa au kufa kwa Covid ndo nitaamini huo ugonjwa wenu ni hatari...
Wewe unajirusha ufahamu tu.
Imekuja kwako kimakosaSubiri siku ukihama kwa dada yako anayekulisha au siku dada yako akiachika kwa shemeji yako na imani hutakuwa unawaza Korona muda wote.
ila kwa sasa unahaki zote za kuwaza Korona maana huna kazi unayoifanya zaidi ya kubadilisha stesheni tu ya TV.
Ila huu ujinga jitahidi kuuficha
Wewe utakuwa kichaa kabisa kama wale aliowasema Diallo!Siku kondakta wa daladala yoyote ambaye kwa wastani kwa siku anapokea nauli na kurudisha chenji za abiria zaidi ya 1000 kwa siku amelazwa au kufa kwa Covid ndo nitaamini huo ugonjwa wenu ni hatari.
Vinginevyo mnaokomalia hizi habari za Corona nahisi aidha mnalishwa na waume zenu au mnakaa kwa shemeji zenu. Mwanaume anayejipambania kupata kipato hawezi kuamka jumatatu asubuhi anawaza Corona tu.
Ficheni upumbavu wenu basi, sio lazima kuu expose.