The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Tena wakiwa bungeni si wanakua na kinga?Huyo mbunge analeta tarabu bungeni na kuongea kwa mafumbo,angetaja jina halisi la anayemwita Yuda na athibitishe hizo tuhuma anazomtuhumu.
Kiti cha spika nacho ni dhaifu,angeambiwa athibitishe
nonsense 🐒Guys
Huko ndani kuna moto unawaka hatari akina Rachel.dangwa wakisema mnaqaita wanaharakat.
Shutuma iliyotolewa na mbunge siyo ya kubezwa na ni hatari sana. sisi kama raia tunataka ufafanuzi kwa nini mipango inakwama kisa Nchimbi na nchimbi abaki ofisini?
Ndugu zangu hadi mbunge wa CCM anajitokeza hadharani na kusema hivyo mjue kuna mengi.mazito yanaendelea huko ndani na mtaelewa kwa nini mpango alijiuzuluwa
Hii kauli ikipita hivi hivi ndo tutajua mbivu na mbichi na mambo yote yatakuwa hadharaniKwa kuwa tuna rais wa hovyo hatachukua hatua yeyote.kwa rais mwenye akili timamu lazima huyu mbunge maandazi kutoma.zanzibar angemwajibisha kwa utovu wa nidhamu.
TrueHizo hoja zingeletwa na mbunge wa upinzani, lazima kiti kingetoa muongozo wa kupewa uthibitisho juu ya hayo madai.
Ila kwa kuwa ni wao wenyewe basi wanademka tu. Lol
Mbele ya Samwel Sitta asingeweza kuongea upuuzi kama huo na kuendelea kubaki salama.Huyo mbunge analeta tarabu bungeni na kuongea kwa mafumbo,angetaja jina halisi la anayemwita Yuda na athibitishe hizo tuhuma anazomtuhumu.
Kiti cha spika nacho ni dhaifu,angeambiwa athibitishe
Basi mshatengenezewa agenda.Guys
Huko ndani kuna moto unawaka hatari akina Rachel.dangwa wakisema mnaqaita wanaharakat.
Shutuma iliyotolewa na mbunge siyo ya kubezwa na ni hatari sana. sisi kama raia tunataka ufafanuzi kwa nini mipango inakwama kisa Nchimbi na nchimbi abaki ofisini?
Ndugu zangu hadi mbunge wa CCM anajitokeza hadharani na kusema hivyo mjue kuna mengi.mazito yanaendelea huko ndani na mtaelewa kwa nini mpango alijiuzuluwa
Hata ww ni wa hovyo maana hujui sheria za nchi yako.Kwa kuwa tuna rais wa hovyo hatachukua hatua yeyote.kwa rais mwenye akili timamu lazima huyu mbunge maandazi kutoma.zanzibar angemwajibisha kwa utovu wa nidhamu.
Kiti cha spika nacho ni dhaifu,angeambiwa athibitishe.Huyo mbunge analeta tarabu bungeni na kuongea kwa mafumbo,angetaja jina halisi la anayemwita Yuda na athibitishe hizo tuhuma anazomtuhumu.
Kiti cha spika nacho ni dhaifu,angeambiwa athibitishe
I can seeKabla ya huu mwaka kuisha tutashuhudia sinema ya kufurahisha pale Magogoni
Huyo siyo mbunge wa wananchi bali ni mbunge wa sa100 maana alimchagua yeye kutokana na sheria za kihuni ambazo hupitishwa na wabunge wa namna sa100 anaowachagua.Hata ww ni wa hovyo maana hujui sheria za nchi yako.
Kisheria rais hana nguvu yeyote ya kumuwajobisha mbunge bali spika ndo mwenye uwezo wa kumuwajibisha.
It's a beautiful laughter, after all!Muwaache watwangane vivyo hivyo ila tusisahau mauaji ya tarehe 29Okt-03 Nov,2025 na utekaji unaoendelea iwe kama their last nail onto their well decorated caskets.Guys
Huko ndani kuna moto unawaka hatari akina Rachel.dangwa wakisema mnaqaita wanaharakat.
Shutuma iliyotolewa na mbunge siyo ya kubezwa na ni hatari sana. sisi kama raia tunataka ufafanuzi kwa nini mipango inakwama kisa Nchimbi na nchimbi abaki ofisini?
Ndugu zangu hadi mbunge wa CCM anajitokeza hadharani na kusema hivyo mjue kuna mengi.mazito yanaendelea huko ndani na mtaelewa kwa nini mpango alijiuzuluwa
Hata spika alitakiwa kutoa neno lakini hakufanyaKwa kuwa tuna rais wa hovyo hatachukua hatua yeyote.kwa rais mwenye akili timamu lazima huyu mbunge maandazi kutoma.zanzibar angemwajibisha kwa utovu wa nidhamu.