Muda ni mwalimu mzuri sanaI can see
Hebu tupe habari kamili mkuu. Mbona ni kama vile unapiga jiwe na kukimbia? Hebu tulia chini uandike uzi vizuri tukuelewa. Ni nini kwani kinaendelea huko?Guys
Huko ndani kuna moto unawaka hatari akina Rachel.dangwa wakisema mnaqaita wanaharakat.
Shutuma iliyotolewa na mbunge siyo ya kubezwa na ni hatari sana. sisi kama raia tunataka ufafanuzi kwa nini mipango inakwama kisa Nchimbi na nchimbi abaki ofisini?
Ndugu zangu hadi mbunge wa CCM anajitokeza hadharani na kusema hivyo mjue kuna mengi.mazito yanaendelea huko ndani na mtaelewa kwa nini mpango alijiuzuluwa
...tumekiona leooo!Ati nyumba ya shetani mwendawazimu kaingiajee ..ee!Kitim tim
Sasa hivi hakuna bunge. Bunge liliisha tanga Samwel Sitta akiwa spika.Huyo mbunge analeta tarabu bungeni na kuongea kwa mafumbo,angetaja jina halisi la anayemwita Yuda na athibitishe hizo tuhuma anazomtuhumu.
Kiti cha spika nacho ni dhaifu,angeambiwa athibitishe
Mbunge ni wa CCM, kama akifukukuzwa kwenye chama nq ubunge unakoma.Hata ww ni wa hovyo maana hujui sheria za nchi yako.
Kisheria rais hana nguvu yeyote ya kumuwajobisha mbunge bali spika ndo mwenye uwezo wa kumuwajibisha.
Nahisi atakuwa katumwa na Kikwete na Abdul ili kumsukasuka Nchimbi aachie madaraka wafurahi kugawana rasilimali za taifa.Kama hajatumwa, atashuhulikiwa, ila kama ametumwa mtamuona hapo au atapanda juu zaidi.
Nahisi atakuwa katumwa na Kikwete na Abdul ili kumsukasuka Nchimbi aachie madaraka wafurahi kugawana rasilimali za taifa.
Mkuu, lengo la CCM siku zote ni kumtenga mtu anayesema ukweli na anayesimama na wananchi. Ndio maana walimuua Magufuli baada ya kuona kuwa anaegemea zaidi upande wa wananchi. MaCCM ni majitu ya kiqumer sana.Wafanye utafiti vizuri, ndani ya serikali na ndani ya CCM, hakuna mtu anakubalika kwa sasa na anasikilizwa kama huyo. Labda kama lengo la CCM na serikali ni kuwa na watu wasiopendwa na kukubalika.
Guys
Huko ndani kuna moto unawaka hatari akina Rachel.dangwa wakisema mnaqaita wanaharakat.
Shutuma iliyotolewa na mbunge siyo ya kubezwa na ni hatari sana. sisi kama raia tunataka ufafanuzi kwa nini mipango inakwama kisa Nchimbi na nchimbi abaki ofisini?
Ndugu zangu hadi mbunge wa CCM anajitokeza hadharani na kusema hivyo mjue kuna mengi.mazito yanaendelea huko ndani na mtaelewa kwa nini mpango alijiuzuluwa
Guys
Huko ndani kuna moto unawaka hatari akina Rachel.dangwa wakisema mnaqaita wanaharakat.
Shutuma iliyotolewa na mbunge siyo ya kubezwa na ni hatari sana. sisi kama raia tunataka ufafanuzi kwa nini mipango inakwama kisa Nchimbi na nchimbi abaki ofisini?
Ndugu zangu hadi mbunge wa CCM anajitokeza hadharani na kusema hivyo mjue kuna mengi.mazito yanaendelea huko ndani na mtaelewa kwa nini mpango alijiuzuluwa
View: https://youtu.be/19L2quNw-HE?si=GdG_QmcH6Dlo20rV
Huyo dogo, nilimsifu sana humu alikuwa shujaa wangu, kaharibu!. Simai kujiuzulu ni ushujaa mkubwa kama Nyerere alivyojiuzulu U-PM. Anastahili pongezi, lawama, shutuma, na kukaliwa vikao au apewe maua yake? na makala gazetini nikamuandikia
View attachment 3600212
Ukimjua huyo mtu huyu jamaa aliyemuita Yuda, kiukweli huyu dogo Mhe. Simai, amechemka big time!.
Huyo aliyemuita Yuda, yeye hana matatizo, tatizo ni walio nyuma ya huyo Yuda!, Simai anajiingiza kwenye a very dangerous zone bila mwenyewe kujijua!, kusipotokea wenye busara, kumshauri, acheze mbali na anga za huyo Yuda!, take it from me, sasa hivi Mhe. Simai atageuka kuwa ni historia in no time!.
Haiwezekani mtu ninayemuona hivi
Haiwezekani mtu wa namna hii akatwa Yuda, tunaomjua kuwa sio Yuda tukanyamaza.
- PNA: Pongezi Makamu wa Rais Bal. Dr Mchimbi Kuusema Ukweli Kuhusu Ujinga Huu wa Watu Kugombana Kwasababu ya Vyama!. Watanzania Tuukatae Ujinga Huu!
- View attachment 3600577
- Pongezi Makamu Rais Balozi Dr Nchimbi Kumeza Kidonge Kichungu cha Rais wa TLS, Wakili Mwabukusi kwa Viongozi Wabwatukaji wa Mambo ya October 29!
- View attachment 3600580
- BigUP Balozi Dkt. Nchimbi kukubali hoja za Rais wa TLS, Wakili Mwabukusi, kuhusu yaliyopita Oktoba 29 si ndwele, tugange yajayo ya Tume ya Uchunguzi
- Pongezi Makamu Rais Balozi Dr Nchimbi Kumeza Kidonge Kichungu cha Rais wa TLS, Wakili Mwabukusi kwa Viongozi Wabwatukaji wa Mambo ya October 29!
- View attachment 3600584
- Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA
- PNA: Makamo wa Rais Dr Nchimbi, atamsaidia sana Rais Samia na Taifa, Ni Mkweli Anayeweza Kumweleza Rais Ukweli!. Ili Kumsaidia Aomba Rais Aombewe!
- Wito kwa Watanzania, Wazalendo wa Kweli wa Nchi Yao, na Wenye Mapenzi Mema na Taifa Lao, Tumuombe Rais Samia!, Tuliombee Taifa Letu!
- View attachment 3600592
- Hoja ya Rais Kuombewa: Je, Rais anapaswa kuombewa na viongozi wa dini tuu pekee au na Watanzania wote wenye mapenzi mema na taifa lao?.
- Waziri Nchimbi na IGP Mwema, Mnasubiri Nini Kujiuzulu?
Huyu dogo kachemka big time!.
P
anajitoa ufahamu huyo..inamaana hajui CCM imeshikilia mihimili yote mitatu.Yote kwa Yote.MARIDHIANO na KATIBA MPYA sambamba na kufumua mifumo iliyopitwa na wakati muda wake ndo huu.Mbunge ni wa CCM, kama akifukukuzwa kwenye chama nq ubunge unakoma.
Wewe humjui mwenyekiti wa CCM taifa ni nani?
Mkuu, lengo la CCM siku zote ni kumtenga mtu anayesema ukweli na anayesimama na wananchi. Ndio maana walimuua Magufuli baada ya kuona kuwa anaegemea zaidi upande wa wananchi. MaCCM ni majitu ya kiqumer sana.