Serikali itoke mbele iseme imefilisika

Tatizo mnajenga barabara hazina mitaro hasa msimu huu wa mvua mmetukomesha.
 
Yaani wewe hujajua tu kuwa mama anaupiga mwingi na katiba haileti ugali mezani?
 
MAKUSANYO YA MAPATO TSHS 1000
MATUMIZI YASIYO YA KAWAIDA 5000
MATUMIZI KWENYE MIRADI 0000

UTATOKAJE HAPO KWA MFANO?
 
Wizara ya maji wakandarasi wanadai hela.mfuko wa maji nao majanga.p4r za world Bank nazo zimekauka.yaani ni shidaa aseee
 
Kaka Hazina peupe hamna hata mia kila siku wanatupiga sound. Kilichobaki saivi watashindwa kulipana mishahara ndio watu waelewe serikali haina kitu

Waache waendelee kukausha hazina mpaka iwe inasoma negative, ili wakishindwa kulipa mishahara ya mapolisi,usalama na wanajeshi wooote wasilipwe hata mia, washikwe na hasira waishie kuipindua serikali ya CCM kijeshi mwaka 2024 🤣🤣🤣🤣
 
Wenzio wanaofanya hiyo kazi wana mtaji hata wakilipwa mwakan hakuna shida. Tatizo liko kama ukiwa unategemea hiyo hiyo hela kujiendesha itakula kwako. Kaz za serikali hazitabiriki mzee. Mkandarasi uwe na vifaa vyote na mtaji juu ndio hela utaifaidi. Ukishindwa chukua Sub contract. Kazi ile iliyopo ndani ya uwezo wako mpaka mtaji ukue. Vinginevyo ukijichanganya ukachukua hela benki iliyozid mtaji wako mara mbili umekwisha.
 
Hamna construction contactor bongo hapa mwenye ubavu wa kipesa wa kuhimili kusurvive mwaka bila malipo huku pesa zake zinatoka kuhudumia kuendesha kampuni na miradi .
Ni upuuzi sana serikali inafanya
Hizo kampuni zitakufa na nyingi zimeshaanza kufa , tuliona kipindi cha Magufuli ni nini kitolitea kwenye sekta ya ujenzi baada ya contractors kuminywa na kukosa tenda
 
Kampuni sio charity organizations ,
Kama hamna kinachoingia na pesa inazidi kutoka kugharamia uendeshaji wa kampuni hiyo ni buncruptcy (kufilisika )
Mkumbuke hizi kampuni nyingi zinaendeshwa kwa mikopo
Huwezi kuwaambia watu wa benki kwamba wakisubiri wewe mpaka utakapolipwa ,hiyo pesa itatoka wapi ,wewe unafilisika na mali zako/dhamana za mkopo zinataifishwa
Tatizo wengi hawajui haya kampuni binafsi yanavyoendeshwa
Running capital kwa kiasi kikubwa ni mikopo ,so malipo yakichelewa kidogo tu hata miezi,ni dhahama
Biashara kichaa sana
 
Kampuni sio charity organizations ,
Kama hamna kinachoingia na pesa inazidi kutoka kugharamia uendeshaji wa kampuni hiyo ni buncruptcy (kufilisika )
Mkumbuke hizi kampuni nyingi zinaendeshwa kwa mikopo
Huwezi kuwaambia watu wa benki kwamba wakisubiri wewe mpaka utakapolipwa ,hiyo pesa itatoka wapi ,wewe unafilisika na mali zako/dhamana za mkopo zinataifishwa
Tatizo wengi hawajui haya kampuni binafsi yanavyoendeshwa
Running capital kwa kiasi kikubwa ni mikopo ,so malipo yakichelewa kidogo tu hata miezi,ni dhahama
Biashara kichaa sana
 
Bro hizo ni moja kati ya kazi zangu so naongelea experience. Ukiishi Africa maisha mengi ya darasani unaweka pemben unadance according the tune mzee. Ukichukua mkopo tusema wa milion 50 hakikisha una mtaji wa milion 150 tayar. Kwanini serIkali zetu haziko stable taasisi zake anything can happen anytime so muhim kwako ni kwenda na biti tu. Tatu, hela yako usilogwe uweke kapu moja Mzee elewa mazingira yako ya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…