mkadiriaji majenzi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2023
- 260
- 569
- Thread starter
- #21
Iyo nimedokeza kukimbia siwezi ila cha moto tunakiona.Baba unaikimbiaje familia kisa huna hela??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyo nimedokeza kukimbia siwezi ila cha moto tunakiona.Baba unaikimbiaje familia kisa huna hela??
Tatizo mnajenga barabara hazina mitaro hasa msimu huu wa mvua mmetukomesha.Habarini wana Jamvi Especialy wanaojishughulisha na kazi za Construction ( Civil and Building).
Huu mwaka sijawahi kuuona tangu nianze kujishughulisha na kazi za Ujenzi ni kwamba serikali haina hela kiasi hiki au kuna kitu nyuma ya pazia hatukijui inakuwaje Miradi itangazwe lakini fedha za mradi hamna inafikia wakandarasi wanadai malipo karibu miezi 8 hadi mwaka unakatika alafu sio Taasisi au Serikali kuu kote majanga.
Serikali mnataka walioajiriwa au kujiajiri kwenye sekta hii waishije kwa mfano.
Fedha zimeenda wapi na kila siku tunaambiwa sisi tuna hela nyingi sana.
Christmass hii sielew itakuwaje...Ukisikia Baba kaikimbia familia ndio huku.
Wakandarasi wengine mnaishije na hali hii naomba kujua experience zenu.
Hatari kweli kweli ....Kweli serikali jaina prsa inadaiwa makandalasi wengi sana kila mradi wanadaiwaaa.....hali mbaya sana
Hata mimi naona dalili ,maana hata mishahara siku hizi inachelewa tofauti na zamani ,Kaka Hazina peupe hamna hata mia kila siku wanatupiga sound. Kilichobaki saivi watashindwa kulipana mishahara ndio watu waelewe serikali haina kitu
Kaka Hazina peupe hamna hata mia kila siku wanatupiga sound. Kilichobaki saivi watashindwa kulipana mishahara ndio watu waelewe serikali haina kitu
Yaani wewe hujajua tu kuwa mama anaupiga mwingi na katiba haileti ugali mezani?Habarini wana Jamvi Especialy wanaojishughulisha na kazi za Construction ( Civil and Building).
Huu mwaka sijawahi kuuona tangu nianze kujishughulisha na kazi za Ujenzi ni kwamba serikali haina hela kiasi hiki au kuna kitu nyuma ya pazia hatukijui inakuwaje Miradi itangazwe lakini fedha za mradi hamna inafikia wakandarasi wanadai malipo karibu miezi 8 hadi mwaka unakatika alafu sio Taasisi au Serikali kuu kote majanga.
Serikali mnataka walioajiriwa au kujiajiri kwenye sekta hii waishije kwa mfano.
Fedha zimeenda wapi na kila siku tunaambiwa sisi tuna hela nyingi sana.
Christmass hii sielew itakuwaje...Ukisikia Baba kaikimbia familia ndio huku.
Wakandarasi wengine mnaishije na hali hii naomba kujua experience zenu.
😀😀😀😀.Ukisikia Baba kaikimbia familia ndio huku.
maana yake umekula mtaji inabidi usaidiwe kuweka mambo sawa!MAKUSANYO YA MAPATO TSHS 1000
MATUMIZI YASIYO YA KAWAIDA 5000
MATUMIZI KWENYE MIRADI 0000
UTATOKAJE HAPO KWA MFANO?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]KWA HIYO AJIIBIE MWENYEWE
Kaka Hazina peupe hamna hata mia kila siku wanatupiga sound. Kilichobaki saivi watashindwa kulipana mishahara ndio watu waelewe serikali haina kitu
Wenzio wanaofanya hiyo kazi wana mtaji hata wakilipwa mwakan hakuna shida. Tatizo liko kama ukiwa unategemea hiyo hiyo hela kujiendesha itakula kwako. Kaz za serikali hazitabiriki mzee. Mkandarasi uwe na vifaa vyote na mtaji juu ndio hela utaifaidi. Ukishindwa chukua Sub contract. Kazi ile iliyopo ndani ya uwezo wako mpaka mtaji ukue. Vinginevyo ukijichanganya ukachukua hela benki iliyozid mtaji wako mara mbili umekwisha.Habarini wana Jamvi Especialy wanaojishughulisha na kazi za Construction ( Civil and Building).
Huu mwaka sijawahi kuuona tangu nianze kujishughulisha na kazi za Ujenzi ni kwamba serikali haina hela kiasi hiki au kuna kitu nyuma ya pazia hatukijui inakuwaje Miradi itangazwe lakini fedha za mradi hamna inafikia wakandarasi wanadai malipo karibu miezi 8 hadi mwaka unakatika alafu sio Taasisi au Serikali kuu kote majanga.
Serikali mnataka walioajiriwa au kujiajiri kwenye sekta hii waishije kwa mfano.
Fedha zimeenda wapi na kila siku tunaambiwa sisi tuna hela nyingi sana.
Christmass hii sielew itakuwaje...Ukisikia Baba kaikimbia familia ndio huku.
Wakandarasi wengine mnaishije na hali hii naomba kujua experience zenu.
Hamna construction contactor bongo hapa mwenye ubavu wa kipesa wa kuhimili kusurvive mwaka bila malipo huku pesa zake zinatoka kuhudumia kuendesha kampuni na miradi .Wenzio wanaofanya hiyo kazi wana mtaji hata wakilipwa mwakan hakuna shida. Tatizo liko kama ukiwa unategemea hiyo hiyo hela kujiendesha itakula kwako. Kaz za serikali hazitabiriki mzee. Mkandarasi uwe na vifaa vyote na mtaji juu ndio hela utaifaidi. Ukishindwa chukua Sub contract. Kazi ile iliyopo ndani ya uwezo wako mpaka mtaji ukue. Vinginevyo ukijichanganya ukachukua hela benki iliyozid mtaji wako mara mbili umekwisha.
Kuna tetesi kuwa nchi inaweza ikafilisika mwaka 2024.
Kampuni sio charity organizations ,Wenzio wanaofanya hiyo kazi wana mtaji hata wakilipwa mwakan hakuna shida. Tatizo liko kama ukiwa unategemea hiyo hiyo hela kujiendesha itakula kwako. Kaz za serikali hazitabiriki mzee. Mkandarasi uwe na vifaa vyote na mtaji juu ndio hela utaifaidi. Ukishindwa chukua Sub contract. Kazi ile iliyopo ndani ya uwezo wako mpaka mtaji ukue. Vinginevyo ukijichanganya ukachukua hela benki iliyozid mtaji wako mara mbili umekwisha.
Bro hizo ni moja kati ya kazi zangu so naongelea experience. Ukiishi Africa maisha mengi ya darasani unaweka pemben unadance according the tune mzee. Ukichukua mkopo tusema wa milion 50 hakikisha una mtaji wa milion 150 tayar. Kwanini serIkali zetu haziko stable taasisi zake anything can happen anytime so muhim kwako ni kwenda na biti tu. Tatu, hela yako usilogwe uweke kapu moja Mzee elewa mazingira yako ya kazi.Kampuni sio charity organizations ,
Kama hamna kinachoingia na pesa inazidi kutoka kugharamia uendeshaji wa kampuni hiyo ni buncruptcy (kufilisika )
Mkumbuke hizi kampuni nyingi zinaendeshwa kwa mikopo
Huwezi kuwaambia watu wa benki kwamba wakisubiri wewe mpaka utakapolipwa ,hiyo pesa itatoka wapi ,wewe unafilisika na mali zako/dhamana za mkopo zinataifishwa
Tatizo wengi hawajui haya kampuni binafsi yanavyoendeshwa
Running capital kwa kiasi kikubwa ni mikopo ,so malipo yakichelewa kidogo tu hata miezi,ni dhahama
Biashara kichaa sana