Njaa kali30 Member Joined Jul 18, 2021 Posts 47 Reaction score 28 Jul 29, 2021 #1 Imepita mwezi tangu tulipoti katika vituo vipya vya kazi lkn mpaka sasa si hela ya kujikimu wala mshahara ulioingia. Kama mmeshindwa basi tupeni hata hela ya kujikimu. Maaanake unakaaa kijiji X kituo cha kazi kituo Y. Serikali tuoneeeni huruma
Imepita mwezi tangu tulipoti katika vituo vipya vya kazi lkn mpaka sasa si hela ya kujikimu wala mshahara ulioingia. Kama mmeshindwa basi tupeni hata hela ya kujikimu. Maaanake unakaaa kijiji X kituo cha kazi kituo Y. Serikali tuoneeeni huruma
Njaa kali30 Member Joined Jul 18, 2021 Posts 47 Reaction score 28 Jul 29, 2021 Thread starter #2 Watumishi wapya tunaulizia juu ya pesa ya kujikimu kwani mpaka sasa hakueleweki watu tunaishi sebuleni wengine tunishi wodini serikali itukumbuke iache utani juu ya maisha ya watumishi wake.
Watumishi wapya tunaulizia juu ya pesa ya kujikimu kwani mpaka sasa hakueleweki watu tunaishi sebuleni wengine tunishi wodini serikali itukumbuke iache utani juu ya maisha ya watumishi wake.