Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Dah serikali zetu hizi bhana
Ukiachilia mbali uzwazwa wa mtu binafsi wa kutapeliwa na kufahamishana habari za sensa ambapo taarifa zake tayari zipo kwenye Tovuti ya takwimu nbs.go.tz na pdf lishatoka.
Nadhani kunaishu nyingine nyingi za muhimu ambazo serikali zetu zilitakiwa zitilie mkazo kwa kupitisha jumbe fupi za maneno kwenye simu za kiganja kwa kila mtu kama wafanyavyo kwenye vitu kama sensa na tuma kwenye namba hii.
Magonjwa kama homa ya ini na athari zake inatakiwa ipewe airtime ya kutosha. Maana jamii ipo conscious na HIV/AIDs pamoja mimba (sio tatizo ila ni tatizo mtu ambaye akujiandaa) huku homa ya ini ambayo haina dawa ikiendelea kumtafuna mmoja baada ya mwengine kimya kimya kama mwendo wa kunyatia beki 3 chumbani kwake.
Tusitake kusubiri wahisa sijui kutoka wapi ilikusambaza taarifa za ugonjwa huu.