mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
Ni hivi kuna jamaa yangu mmoja kaja kunishauri ooh unajua kaka una matumizi mabaya ya fedha kwahiyo nakushauri uanze kuweka akiba ili ikusaidie baadaye.
Mwanzo nikaona ana point ila nilivyo kaa kutafakari ushauri wake nikamuona mpuuzi, hivi kabisa unaakili timamu unamshauri mwenzako aweke akiba, yaani fedha,
Kwa mwenye akili ameenielewa kwa wenzangu na mimi someni comment ndio tutajua uwezo wa mtanzania kufikiri bila shaka hata baadhi ya viongozi wenyewe mmetoka kapa hata hamjaelewa hiyo sheria mn anaitunga kwa mantiki ipi?
Hongera wewe unaepata fedha unaitumia hapo hapo au kabla ya wiki kuisha umeitumia.
NB: Serikali naombeni mtunge sheria kali ikiwemo kifungo kwa wale wote wanaoweka akiba ya fedha bank nk wanahujumu uchumi