Serikali itunge sheria kali kwa wale ambao wanaweka akiba ya fedha

Serikali itunge sheria kali kwa wale ambao wanaweka akiba ya fedha

Savings ni nzuri maana huwa yatokea dharura
 
Saving is a scam, investment is real. Ukifanya saving pesa zako zinashuka thamani with time, 5M ya sasa itakua na thamani ndogo miaka mitatu ijayo in term of purchasing power.
 
"Pesa, yake ni matumizi"

Hakuna 10k iliyyoandikwa ya kuhifadhi, pesa zote ni halali kwa MALIPO, malipo ni matumizi hayo.
😂 😂 😂
 
Before you Spend, Earn or you will be bankrupted
Before you Retire Save, or you will wind up an old pauper
 
"Pesa, yake ni matumizi"

Hakuna 10k iliyyoandikwa ya kuhifadhi, pesa zote ni halali kwa MALIPO, malipo ni matumizi hayo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji109][emoji109]
 
Kuwekeza pesa kuna viwango vyake. Kama hujafikia kiwango unachotaka kuwekeza sharti uweke akiba. Ni bank au utachimba shimo uweke utajua mwenyewe. Mimi sio mtu wa bank nikushauri upeleke bank. Hata ukileta nikutunzie sawa tu. Mleta mada ni mpiga pombe hivyo anawekeza huko maana kwenye pombe ukitaka hata ya buku ipo. Ni wewe tu.
 
Back
Top Bottom