Sonimbusilo
Member
- Aug 12, 2024
- 12
- 47
Umakini unahitajika wizara Tatu, upigaji wa Rostam Aziz na kutumia picha alizopiga na Rais kutisha wawekezaji wazawa.
(1). Wizara ya Kilimo, wizara hii sitashangaa na sikushangaa sakata la sukari na makarate ya kugawa vibali vya kuagiza Sukari na kampuni za simu, stationery nk Waziri wa kilimo alilelewa na Rostam Aziz ndiye aliyekuwa mkurugenzi wa makampuni ya Rostam, Bashe ndiye alikuwa muendeshaji wa Habari yenye magazeti ya Rai, Mtanzania nk....hapa kilimo hata miradi wa BBT wanaoendesha miradi ni watu wa Rostam Aziz hapa kampuni zisizo na majina za Rostam zitapiga pesa sana.
(2).Wizara ya madini:-huyo Anthony alikuwa Naibu waziri wa kilimo akiwa chini ya Bashe so urafiki wao ni mkubwa, hivyo tunapoona kampuni yenye uhusiano na Rostam Aziz kampuni ya SWALA Solution mbadala wa Twiga minerals corporation Kwenye migodi inayomilikiwa na kampuni ya Barrick Gold corporation hatushangai, tunapoona waarabu wanatamba migodini kwa kuwasumbua watu waliofanya uwekezaji zamani?! Tunajiuliza maswali mengi ila lazima tuseme na tukemee.
(3). Wizara ya Nishati:-hapa nafikiri pia waziri alikuwa waziri wa madini so connection ipo, hapa Rostam amefungua kampuni nyingiiiii zenye majina tofauti katia timu kwenye Gesi asilia, napo analazimisha waliowekeza wampe share au awachongee kwenye mamlaka watimuliwe, tuendelee kumfuatilia Rostam Aziz asilete vikwazo kwa wafanyabishara nchini.