KERO Serikali itusaidie, wakazi wa Kipunguni (Dar) tunateswa na kelele za muziki

KERO Serikali itusaidie, wakazi wa Kipunguni (Dar) tunateswa na kelele za muziki

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wakazi wa Kipunguni A na Kipunguni Mashariki(Dar es salaam) tunasumbuliwa na kelele za sauti kubwa ya mziki unaopigwa na JAKICHA MOTEL.

Tulishapeleka malalamiko yetu katika vikao vya serikali ya mtaa lakini wamekuwa wakitoa majibu yasioridhisha.

Tangu 2022 mpaka leo, wanaothirika ni majirani ambao ni wazee ambao wengine ni wagonjwa, watoto (wachanga) na wagonjwa hata usalama unakuwa mdogo kwa kutosikilizana.
 
Back
Top Bottom