“Sekta ya ulinzi binafsi ni mhimili muhimu katika kuimarisha usalama wa jamii, kulinda mali na kusaidia juhudi za serikali katika utoaji wa huduma za kiusalama. Hivyo, uwepo wa sheria mahsusi utaleta uwajibikaji, viwango vya kitaaluma, uwekezaji salama na ufanisi wa sekta kwa manufaa ya taifa.”