Serikali iwaangalie Wenyeviti wa Vitongoji na Kata

Serikali iwaangalie Wenyeviti wa Vitongoji na Kata

Joined
Jan 2, 2019
Posts
17
Reaction score
20
Katika ngazi za Majiji Uongozi wa chini ni Mitaa ambapo tunaanza na Mwenyekiti wa Mtaa tofauti na vijijini huko Tuna (Wenyeviti wa vitongoji then kata) tukumbuke hao ndio viongozi hawajulikani ndani ya Katiba yetu

Sasa katika Moja na mbili nje ya #Boksi Kuna Mabalozi maeneo ya mijini naongelea hapo tena hawamiliki Nyumba kumi kama vijijini huko wao wanamiliki mitaa kabisa na tena wanapiga kaaziii haoo kuliko hata wanaotambulika na Katiba ya Jamuhuri...

Swali langu Serikali ya Jamuhuri ambayo ipo chini ya Chama Cha Mapinduzi haioni ipo haja ya kuwaangalia watumishi wake hao kwani wanapambanaa saaanaaaaa kuliko hata hao waliowapa rizaa ...???
 
Back
Top Bottom