Serikali iwachukulie hatua TRA walioita watu wasiokuwa na sifa kwenye interview ili kuichafua serikali

Serikali iwachukulie hatua TRA walioita watu wasiokuwa na sifa kwenye interview ili kuichafua serikali

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
473
Reaction score
1,682
Nimesitikishwa sana na yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii hasa wale wale wajinga wajinga waliomtumia Mange Kimangi clips inayoonyesha TRA imewaita watu wasiohusika kwenye interview.

KItendo hicho kimesababisha vijana waongee maneno magumu magumu dhidi ya serikali, TRA waliweka matangazo na watu waliomba, walioomba wameitwa kwenye interview, wanafika kwenye interview wanaambiwa qualifications zao sio, hivyo wamebakia kutukana serikali na kuleta chuki.

Kiukweli mimi binafsi nimeumia sana, kwanini kazi hii hata kama nyie TRA ni chombo huru kazi hii isifanywe na sekretariati ya ajira hadi nyie mnasababisha matusi kwa serikali.

Tukisema nyie mmefanya jambo hili kwa makusudi ili kumtukanisha kiongozi wa nchi aonekane hafai mtakosea.

Jirekebisheni.
 
Yani sijaelewa, watu wamefika kwenye interview alafu wakakataliwa kufanya interview alafu watu haohao wakasema watu wasiostahili wameitwa kwenye interview, nieleweshe hapo kidogo.
 
Back
Top Bottom