kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
Mitandao ya kijamii inashiriki sana kuelimisha umma wa Watanzania kwa namna mbalimbali kuanzi hapa Jamiiforums, Twitter n.k
Nashauri serikali ianze mpango wakutoa Motisha kwa baadhi ya wanaoendesha hii mitandao wakiwemo kina Mexence Melo na wengine ili kuwatia moyo kwa kazi kubwa wanayofanya.
Hawa watu elimu wanayoitoa kwa umma ni kubwa sana.
Jana nilibahatika kuisikiliza kuanzia saa 2usiku hadi usiku wa manane!
Uchumi, Diplomasia na Mambo ya kisheria yanazungumzwa kwa upana mkubwa.
By the way hii nchi ina watu wenye nia na Uzalendo wa kweli.
Mawaziri, makatibu, wabunge walazimishwe kusikiliza hii mijadala.
Naomba kuwasilisha.