Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Kuna kitu hakiko sawa kwenye mifumo ya serikali, pamoja na bodi inayo shugulikia mikataba FCC kujidani na kuwashauri watu wasitoe mikataba ya unyonyaji na manyanyaso bado tunahitaji sheria zibadilishwe. Tarehe za kustaafu zikifika mtumishi aache kwenda kazini ila mshahara uendelee kulipwa ili PSSSF wanapokuwa tayari kulipa pensheni ndio mtumishi asitishiwe mshahara na aanze moja kwa moja na mshahara wa mstaafu vinginevyo ni uonevu. Wao wanataka wawaguse wengine ila wao wasiguswe. haki za bina damu na watumishi zizingatiwe.
Pensheni miezi 8 imeisha halafu mtu anasema mwezi wa 8 aliwalipa watu wengi sasa hayo majina ya wengine yako wapi mbona hayakulipwa. tuwe wakweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Pensheni miezi 8 imeisha halafu mtu anasema mwezi wa 8 aliwalipa watu wengi sasa hayo majina ya wengine yako wapi mbona hayakulipwa. tuwe wakweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu.