Serikali iwaombe wafanyabiashara wakubwa waende vyuo vikuu wakafundishe wahitimu angalau unit 1 ili kukamilisha degree ya biashara

Ccm imeombwa na nchi za zinazotaka kubaki madarakani ,kupita kwa kishindo,kuuza rasilimali na kuongea uongo.

Nchi hizo zimemtunuku nishani

 
Ingekuwa vizuri na wewe pia ukashea (share) na sisi hapa jukwaani hiyo mbinu ya kuchagua location ya biashara uliyopewa na muha wa std 7, kabla serikali haijafanyiakazi maoni yako.
Onyesha mfano kwa wewe mwenyewe kutoa hiyo elimu kwetu.
Njoo post no.1 naweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…