Nimeona kama lile jengo la ilipokuwa wizara ya afya ni kama kuna shule English medium imekodi pale, advertise ya kwanza wamechora tommy and jerry + MickeyUko saihihi Wanatakiwa ku brain storm kuwa baada ya serikali kuhamia Dodoma what next kwenye hayo majengo? Sio kazi ya Raisi hiyo