Serikali iwape motisha waandaaji wa maudhui waandae vitabu vyenye maudhui ya Kitanzania

Serikali iwape motisha waandaaji wa maudhui waandae vitabu vyenye maudhui ya Kitanzania

julaibibi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
3,081
Reaction score
4,224
Baada ya kushuhudia vitabu vilivyopigwa marufuku kwa kweli ipo haja ya serikali kuanzisha kampeni kuwapa motisha wasanii hawa, vijana wa IT watutengenezee katuni za Kitanzania na pia magazine nzuri za rangi rangi kama miaka ile magezeti ya Sani.

Ili kupambana na vitabu hivi ni lazima kuingiza vitabu vyenye maudhui yetu. IT wetu wakishirikiana na wasanii kama kina Masud watuandalie vitabu vyenye Utanzania nimesoma pages ya hiyo Diary of Wimpy Kid ni balaa.

Na TBC na chanel zote wekeni katuni za Kirikuu na utoke waraka chanel zote waweke katuni za Kitanzania. Kirikuu, Akili Akil hizi zinapendwa sana. Kila dini iandae muswaada wa mtaala wa vitabu vya katuni za dini pia.
 
Tatizo tunaishi kwa misaada. Hizi nguvu ni za muda tu vitabu vitasambaa zaidi
 
Back
Top Bottom