Serikali iwe makini, isikurupuke kurudisha mtandao wa intaneti

Kama unaona hakuna umuhimu huo, ungeona pia umuhimu wa kutoandika uliyoandika kwa kutumia mtandao. 'Otherwise, you are not true to yourself'.
 
Mwenzetu hii huduma ya internet umeipataje? Je unajua ni kazi ngapi zimekwama kutokana na kukosekana kwa huduma ya internet? Pia kumbuka shughuli mbalimbali za Serikali kwa sasa zinategemea internet ikiwa ni pamoja na malipo.
 
Ww aliyekwambia serikali imezima internet ni nani,kama hujui mambo ya IT ni afadhali ukae kimya tu kuliko kuanzisha thead usiyojua unaongea nn.
 
Mpuuzi kama wewe wakufollow wewe? Uliedangaya watu humu Jf kuwa kuna watu wanaorodhesha vitambulisho vya kura wizara ya maji? Nafikiri ulisha liwa sana makalio mpaka akili zikavurugika.
Siyo Kosa langu bali 'mlaumu' Mwenyezi Mungu kwa kunifanya niwe 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' hivi sawa?
 
Wewe ni mmoja wa wajinga kutoka chattle.
 
we umeingiaje kwenye mtandao ..wao washindwe?
 
Kumbe watanzania wasiojitambua bado mpo?

Sent from my TA-1024 using JamiiForums mobile app
 
Biashara za kuuza kupitia mtandao bongo? Nyumba hazijapangiliwa na hao ndio huwa wa kwanza huko uswahilini kuuana kwa kusiliza uongo wa kwenye mitandao.

Kusoma kwa kutumia internet ni uvivu wa kusoma vitabu ndio maana ubongo wako unawaza uharo
Qengay
 
Umetumia muda mwingi kuandika ujinga.kwa akili hizi ni haki tuendelee kua nchi ya dunia ya tatu.
 
Wajinga ni wengi sana ndugu.Karne hii mtu bado hajui umuhimu wa internet wakat huo huo anaitumia kutapikia ujinga wake.
 
Kuna watu wanafanya biashara kwenye mitandao hii hii E-commerce na wanalipia kodi na wamejiajiri serikali inalifahamu hilo vizuri sana, hivyo serikali iache mambo ya kipuuzi ifanye mambo yanayoweza yakaiondoa hii nchi hapa ilipo, iachane na haya mambo ya kipuuzi.
 
Use your brain to think,not your bowels.
 
Wewe akili haziko kichwani. You're very useless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…