Serikali iwe makini, Urusi imekuja na mbinu hizi kuchukua vijana wa Kitanzania kwenda kupigana Ukraine

Supa-pawa wa mchongo anatafuta 'man power'..😂😂😂

Kama nitakufa kwa kulinda maadili na utu watu na kutokomeza ushoga wacha niende nikafe.
Nenda boss katuwakilishe huko....aluta continua..

MK254 dudus Yoda kp kipanya44
 
Russia haijawahi kuwa salama kwa mtu mweusi miaka yote...

Jamaa yetu mmoja alishawahi uawa akiwa masomoni huko, sijui alidungwa sumu gani akafa
 
Kama nitakufa kwa kulinda maadili na utu watu na kutokomeza ushoga wacha niende nikafe.
Na kweli utakufa kwani huko hutawakuta walengwa wako bali utakutana na Wazee wa HIMARS na Washirika bila kumsahau mzee wa jagajagaa na ukileta za kuleta, waajiri wako (Wagner) group wanakunyofoa naniliu zako fasta na ndipo utakapojua ulikuwa hujui umeenda kimhemko zaidi.
 
Waafrica wanaitajika wakapigane vita huko
Na baada ya kuona mnamshangilia kwa kumuunga mkono kisa Amerika ashindwe dhidi ya Ukraine, naye ameona opportunity ya kuwachukua ili mkamsadie kuua huko.

Vijana wengi wana hamu na maisha mazuri so kwa njia hiyo mnajitoa mhanga liwalo na liwe...
 
Na baada ya kuona mnamshangilia kwa kumuunga mkono kisa Amerika ashindwe dhidi ya Ukraine, naye ameona opportunity ya kuwachukua ili mkamsadie kuua huko.

Vijana wengi wana hamu na maisha mazuri so kwa njia hiyo mnajitoa mhanga liwalo na liwe...
Wanadhani kwamba wale vijana (Me) laki 7 waliokimbia na wanaoendelea kukimbia huko ni wajinga. Wameshiba nduna hapa Bongo, wanavaa hereni na kujiona ni werevu. Ngoja wakajionee wenyewe - kusikia kwa kenge ni damu masikioni.
 
Hilo group la wagner nasikia linahela hatar ukute ndio wafadhili wakuu kwenye hizo scholarships, chakushangaza wanafunzi wanaotoka Africa wote waliopelekwa vitani kufa,wanasema walikua jela ukute kesi zakutengeneza!
 
Hilo group la wagner nasikia linahela hatar ukute ndio wafadhili wakuu kwenye hizo scholarships, chakushangaza wanafunzi wanaotoka Africa wote waliopelekwa vitani kufa,wanasema walikua jela ukute kesi zakutengeneza!
Ndio ni kweli. Huwa wanakamatwa kwa kesi za kubambikiza za madawa ya kulevya. Wakiwa huko Magerezani kama wafungwa, wanakuja jamaa wa Wagner kuwalaghai kwamba wakijisajili kwenda Jeshini watawatengenezea mchongo wa kutoka huko magereza i.e. "Wanachomoa" na kutokana na adha za magerezani Vijana wafungwa wankubali na kujisajili kwenda jeshini.
Wakijiandikisha wanatolewa kweli huko magereza na moja kwa moja wanakuwa ni "Mateka" wa Wagner Group i.e. Wagner "wamewanunua hao wafungwa" na moja kwa moja wanaingia mafunzo ya awali Kambini(Ukuruta)n.k. n.k. na ndo imetoka hivyo. Hao ni askari Mamluki wa Wagner na wanaingia vitani kwa kukodiwa Kimkataba kupigana upande wa Urussi dhidi ya Ukraine. Kwa hiyo Ukraine anapowaua anahesabu ameua askari wa Urussi na si vinginevyo. Wagner Group ni Private Military Company (PMC)inayotoa huduma za kijeshi esp. Askari-vita infantry kwa kukodiwa popote duniani kama Mamluki(Mercenaries) aka. Askari wauaji.
 
Mkuu hiyo nafasi ningeipata ningeenda tu, retirement package ya mwanajeshi wa urusu ni $750k war allowance $15k kwa mwezi, unapewa nyumba na free medical care, hiyo pesa ni nyingi hata kuzidi ya watanzania wauuza unga kule South
Unaenda kupigana kama mamluki wa Wagner group na sio kama mwanajeshi wa Urusi.
Hata hivyo sidhani kama wanajeshi wa Urusi wanalipwa kiasi hicho
 
Unaenda kupigana kama mamluki wa Wagner group na sio kama mwanajeshi wa Urusi.
Hata hivyo sidhani kama wanajeshi wa Urusi wanalipwa kiasi hicho
Sijui watu esp.Vijana wa Tz. wanakwama wapi kutofautisha kati ya kufanya kazi serikalini na kufanya kazi katika Kampuni binafsi.
Hizo cjui retirement benefits, nyumba na blaa blaa nyingi ni serikalini. Kwenye Kampuni ni tofauti kabisa na ni mbaya zaidi ikiwa ni kwa Mkataba. Sijui ni kwa nini wanashindwa kulinganisha Inavyokuwa kwa hapa Tz. mtu anayefanya kazi Serikalini(Pensionable) na yule anayefanya kazi katika NGO.
Vitani hakuna gerentii eti utarudi baadaye e.g. Utastaafu. Kifo na Uzima vipo pamoja. Halafu hawajafikiria kama hapa Tz inavyokuwa ngumu na usumbufu kufuatilia mafao yako baada ya kustaafu au mafao ya marehemu.
 
Unataka twende yulopu.
Tumiache aliye tusaidia kupata uhuru kama waafrica tumfuate aliye tukoloni ,aje kutukoloni tena amaa?
 
Anajidanganya na malipo feki ya $15k per month + $750k retirement benefits.
Hata wanajeshi wa Marekani hawalipwi pesa nyingi kiasi hicho, sembuse mgambo wa Wagner group tena ngozi nyeusi kutoka Afrika.
Vijana wanajidanganya sana
 
Hujiulizi Ukraine Vita inaendelea
Ila Kule mariupol anashusha maghorofa?
 
Kama nitakufa kwa kulinda maadili na utu watu na kutokomeza ushoga wacha niende nikafe.
Anza na wewe binafsi, ukijaaliwa familia, basi iongoze kwenye njia njema, huwezi kulinda maadili ya dunia nzima! Kujiua nako ni dhambi, kama vile kukosa maadili.
 
Najua zipo kitambo, ila zilikuwa hazitangazwi kwa fujo hivi

Nchi kibao zinatoa scholarships, Uturuki, Morocco, UK, nk lakini huoni zilitangazwa kwa fujo hivi, nakutana na matangazo mawili kila siku
Hiyo kuona matangazo Kila siku inatokana na SNS algorithm inavofanya kazi,
Inategemea na searches zako inakusoma unapenda kugoogle vitu Gani ndo inakuletea kama suggestions,
It seems unasearch sana about Russian ndo mana inakupa hayo makitu,
 
Russia wataipata fresh kwa wanayoyafanya Ukraine.
 
Huko vitani wadada wanaruhusiwa?..
Nataka nikafanye yangu mie
 
Mkuu mimi nimeshawatumia meseji whatsapp waniunge na hilo jeshi hata leo. Kufa kupo tu. Nashangaa sana mwanaume kushupaza shingo eti anaogopa kifo. Usipoenda russia/vitani ndio hutakufa? Mleta mada ni mgeni sana.
Mkuu ulivyowatumia message whatsup wamekujibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…