BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
- mnaruhusiwa MamieHuko vitani wadada wanaruhusiwa?..
Nataka nikafanye yangu mie
Hapana, hawajanijibu.Mkuu ulivyowatumia message whatsup wamekujibu?
Nani anashusha maghorofa kule Mariupol?Hujiulizi Ukraine Vita inaendelea
Ila Kule mariupol anashusha maghorofa?
Wahenga walisema: "Sikio la kufa halisikii dawa" eti malipo kwa mwezi ni $15 na mafao ya kustaafu ni $750. Watashangaa watakapokuta malipo ni hewa lakini risasi ni Real.Anajidanganya na malipo feki ya $15k per month + $750k retirement benefits.
Hata wanajeshi wa Marekani hawalipwi pesa nyingi kiasi hicho, sembuse mgambo wa Wagner group tena ngozi nyeusi kutoka Afrika.
Vijana wanajidanganya sana
Yaani mfungwa, ambaye alikuwa mwanafunzi, anapelekwa vitani kwa mafunzo mafupi ya less than a month, upelekwe mstari wa mbele then useme wamekufa bahati mbaya? Really? Seriously??Hapo ubaya uko wapi? Wewe hujui maisha naona, watu wengi hapa Africa wanatamani kujiuga na jeshi la Urusi ukipewa hiyo Fursa, mbona ni bonge la dili, kifia uko ni bahati mbaya tu.
Nenda sasa badala ya kulia lia hapa jukwaani..Kama nitakufa kwa kulinda maadili na utu watu na kutokomeza ushoga wacha niende nikafe.
+ Wagner group...Urusi + Putin= wauaji
Mockery when ur life is at stake. e.g. Umeshaambiwa hapo kichakani kuna simba majeruhi halafu ww unajipeleka hapo. Akishakurarua wenzio wa aina yako waliobaki wanasema ni bahati mbaya. 😳Yaani mfungwa, ambaye alikuwa mwanafunzi, anapelekwa vitani kwa mafunzo mafupi ya less than a month, upelekwe mstari wa mbele then useme wamekufa bahati mbaya? Really? Seriously??
Kwani wakibaki hapa hawafi? Kifo ni popote, bora ufe ukiwa kwenye harakati za kutafuta maisha.Yaani mfungwa, ambaye alikuwa mwanafunzi, anapelekwa vitani kwa mafunzo mafupi ya less than a month, upelekwe mstari wa mbele then useme wamekufa bahati mbaya? Really? Seriously??
Fursa siyoToa link hapa wengine hatujaziona
Nina madogo wanatafuta hizi fursa bora waende uko wakawe walevi au waende vitaniFursa siyo
mtz akiwekewa ugumu analalamika
akiwekewa urahisi analalamika pia
punguzeni nongwa