Serikali iwe wazi deni la Taifa, waziri atoe orodha ya waliotukopesha na kiasi walichotukopesha na muda wa kulipa

Sir luta

Senior Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
175
Reaction score
245
Watanzania wachache wanafuatilia kuhusu deni la Taifa na wamebaki na maswali mengi hasa deni hilo kupaa kutoka trilioni 50 hadi trilioni 107 kwa kipindi kifupi.

Ni vizuri serikali kupitia waziri wa fedha Dkt. Mwigulu akatoa orodha inayoonyesha taasisi zilizotukopesha, kiasi cha mkopo kwa kila taasisi, ukomo wa mkopo kila taasisi na pengine mikopo hiyo ilikoelekezwa badala tu ya kuambiwa bado tunakopesheka.

Asante
 
Ni vizuri serikali kupitia waziri wa fedha Dr Mwigulu akatoa orodha inayoonyesha taasisi zilizotukopesha, kiasi cha mkopo kwa kila taasisi, ukomo wa mkopo kila taasisi na pengine mikopo hiyo ilikoelekezwa badala tu ya kuambiwa bado tunakopesheka. Asante
Na watwambie wamezitumiaje.....sio tu waseme wamejenga madarasa.
Watwmabie madarasa mangapi wamejenga kwa sh ngapi.
 
Watanzania wachache wanafuatilia kuhusu deni la Taifa na wamebaki na maswali mengi hasa deni hilo kupaa kutoka trilioni 50 hadi trilioni 107 kwa kipindi kifupi.
Ni vizuri serikali kupitia waziri wa fedha Dr Mwigulu akatoa orodha inayoonyesha taasisi zilizotukopesha, kiasi cha mkopo kwa kila taasisi, ukomo wa mkopo kila taasisi na pengine mikopo hiyo ilikoelekezwa badala tu ya kuambiwa bado tunakopesheka. Asante
Screenshot_20250613-120827~2.png
 
Nrne
 
Hutopewa huo mchanganuo, hapo ni bora liende itajulikana mbele kwa mbele!! Mambo kama haya walamba nyayo za viongoz walipaswa wawe critical kuyajadili lkn wao ni kulamba nyayo za viongoz baaas ile wapate kula!!
 
Mm naamini mafisadi wameongezea deni la Taifa lazma kuna pesa inaingia mifukoni mwao hasa baada ya samia kupewa ikulu
 
Ni katika kipindi hiki bunge limekwepa kujadili ripoti ya CAG eti mpaka uchaguzi upite; kuna kinyesi kinafunikwa hapo kunakotukio.
 
Very soon Ndugai atakuja kutambuliwa kama shujaa wa taifa. Alionya mapema sana.
Halafu Mama anasema kipaumbele cha watanzania sio katiba. Mtanzania wa chini hajui katiba ni nini

Mwanamke anatukosea sana HESHIMA huyu

Ndungai ni Champion
 
Watanzania wachache wanafuatilia kuhusu deni la Taifa na wamebaki na maswali mengi hasa deni hilo kupaa kutoka trilioni 50 hadi trilioni 107 kwa kipindi kifupi.

Ni vizuri serikali kupitia waziri wa fedha Dkt. Mwigulu akatoa orodha inayoonyesha taasisi zilizotukopesha, kiasi cha mkopo kwa kila taasisi, ukomo wa mkopo kila taasisi na pengine mikopo hiyo ilikoelekezwa badala tu ya kuambiwa bado tunakopesheka.

Asante
Kukopa sio kosa kabisa shida mikataba wanaingia wao kimya kimya na elimu ya deni la taifa wananchi walio wengi hawana

Hv nimefikiri tu ujinga tu mambo mawili tuna maProf wangapi? Tuna Masters ngapi? Na degrees ngapi? Na diploma ngapi? Hawa wote wasomi wameshindwa kuleta jawabu la njia ya kutatua nakufuta deni la nchi kweli .

Mawazo yangu ya kijinga tena hv serikali iki tumia maeneo ya mapori watu waingie kulima bangi kila mkoa walime kwa wingi .Mm nina uhakika deni tuta kuwa hatuna maana kuna nchi kama marekani , Jamaica na nchi kama tano ngunia la bangi ni million 10. Sasa hapo kila mkoa

Ila ni ujinga tunimewaza tu kwa sauti
 
Back
Top Bottom