Serikali iweke bajeti ya kuwalipa watumishi wa umma kias cha pesa kila tarehe 15

Serikali iweke bajeti ya kuwalipa watumishi wa umma kias cha pesa kila tarehe 15

Mama Edina

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2022
Posts
850
Reaction score
2,019
Serikali ichukue huu ushauri itakuja kunishukuru.

Ipange (plan) bajeti ya kuwalipa watumishi wa umma kias cha pesa kila tarehe 15. Wakati ambapo watu wengi mfukoni hawana kitu Chochote.

Lakini pia itakuja kukata kiu ya dai la Muda mrefu, nakumbuka nilisikia ushauri huu unatolewa tangu miaka na Miaka.
 
Serikali ichukue huu ushauri itakuja kunishukuru.

Ipange(plan) bajeti ya kuwalipa watumishi wa umma kias cha pesa kila tarehe 15 . Wkt ambapo watu wengi mfukoni hawana kitu Chochote.

Lkn pia itakuja kukata kiu ya dai la Muda mrefu, nakumbuka nilisikia ushauri huu unatolewa tangu miaka na Miaka
Hicho kitacholipwa tarehe 15 kitaitwaje japokuwa kada za kijjeshi tarehe hiyo hulipwa allowance nafikili ni kiasi 300,000 - 450,000
 
Mimi naona wawalipe wafanyakazi mshahara wenye uhalisia. Huu mshahara wa sasa kwa kada nyingi umekaa kimtego sana.

Na ndiyo maana wajanja wanaona bora wawekeze nguvu kubwa kufanya mambo yao binafsi, ili kufidia ma gap.

Huwezi kumlipa mtu laki 6 kwa mwezi, halafu pesa hiyo hiyo anunulie chakula, atumie kama nauli, apange chumba/nyumba, anunue nguo, asomeshe, asaidie familia yake, nk.
 
Hili liko wazi mkuu, sema ni kujitoa fahamu......kama mshahara ungeendana na uhalisia wa hali ya maisha na kiuchumi haijalishi hata kama utalipwa mara moja mwishoni mwa mwezi.
 
Back
Top Bottom